Hapo umenena mkuu kula likeMi kwa uelewa wangu nadhani mnachanganya
OGU Alitoka kwenye jamii ya amorites people
Na AMORITES ni uzao wa CAANAN mwana wa Nuhu.
Na biblia iliposema alibaki OGU kati ya Giants ni kwamba yeye ndio alikuwa wa mwisho kwa duniani kusumbua kipindi kile.
SWALI MUHIMU NI KUWA: WALIRUDIJE BAADA YA GHARIKA??
Ndio wengi tunarudi kwa Ham baba yao na mama yao ambae haongelewi na huyo mtoto wa CAANAN why alizaa GIANTS mbona watoto wengine wa HAM hawakuzaa GIANTS??
SO CAANAN NDIO SHIDA HAPA YEYE NDIO WA KUDADAVUA.....(NA WHY NUHU ALIMLAANI)...KWA CAANAN NDIO PENYE JIBU LA KWELI
Neno Mabaki Mabaki baada ya uyu jamaa kuna waanaki so issue nikuelewa neno mabaki tumia nabiblia zaidi1 uko sahihi kabisa kwa mujibu wa biblia ila vitabu vya wayahudi wenye nchi yao alipoishi ogu wanasema alikuwepo kabla ya gharika ndio maana nikaleta uzi humu ili tujue nani mkweli nani anapotoaha.... Wanadai hata hao waamori ni zao lake yeye ndio maana alikua mfalme wao miaka yote.
2.Kingine ni kweli nakubaliana na wwe kuwa itakuwa ham alioa mwanamke mwenye damu ya kinefili ndio maana wanefili walirudi baada ya gharika ila swali langu je Mungu hakulifahamu hilo na kma alifahamu kulikuwa na haja gani kuiangamiza dunia nzima ili kuwafuta wanefili ilihali mwingine (mke wa ham) alipona ??
3. 90% ya wanefili ni kweli walitokea kwenye kizazi cha ham kupitia canaan ila usisahau pia Mizraim naye alizaa mnefili mmoja anaitwa caphtor kma sikosei na ndio alizaa wafilisti kina goliath waliokuwa wanefili pia.....
Ni hayo tu
Kwa maoni yako je kwanini Mungu aliangamiza dunia kwa gharika ilihali alijua wanefili wangerudi tena na kuendeleza maasi yaleyale??Neno Mabaki Mabaki baada ya uyu jamaa kuna waanaki so issue nikuelewa neno mabaki tumia nabiblia zaidi
Ndugu Zitto
mkuu habr za Jpili. Nimepita nikavutiwa ghafla ni Hii comment.Kwa maoni yako je kwanini Mungu aliangamiza dunia kwa gharika ilihali alijua wanefili wangerudi tena na kuendeleza maasi yaleyale??
Sio maudhui ya mada hii
Kuna mada kibao za aina ya ubishani unaoutafuta.
Kama huoni hizo mada, basi anzisha mada yako kwenye forum ya dini na sio huku kwenye jukwaa la intelligence lenye watu makini wasiohitaji mabishano yasiyojenga
kaulize biblia
mkuu tunaomba mchango wako kwenye mada pia kama jamaa anavyokusisitiza.Mbona uliandika mwenyewe kuwa yesu alikufa , hivi ubishani niliuanza wapi?? nimeuliza tu au ulivyoandika ulikuwa hujielewi ??
Ingalikuwa hukuandika hata nisingalikuuliza kabisa ndio maana kama ulivyosema hili ni jukwaa la intelligence , usiropokwe tu , utaulizwa , kama huna ushahidi si sema tu sina , nani atakuweka kwenye kwenye mfuko wa plastiki na kukutupa coco beach ???
Chagua mojawapobiblia ipi ??? KJV, NKJV, RS, Douay, QJV, ...........
Barikiwa mkuu kwa maoni yako ya kujenga... heri njema piaNimeona nisiache ku coment japo kidogo baada ya kusoma hii mada tokea mwanzo hadi sasa japo imenichukua siku 3 usiku na mchana.
Pongezi nyingi sana mleta mada na wachangiaji wote hakika nawatakia heri njema kwa kushirikisha kile mlichokipata katika kusoma kwenu, hakika huo ndio UPENDO.
Lakini pia nami nimebahatika kupata mawili matatu ya kuimarisha imani yangu katika Kristo. Ilaa ni kiri wazi kabisa Biblia isiwe kwangu kitabu cha mwisho kujifunza elimu ya Mungu japo lugha ya kiingereza imekua changamoto kwangu lakini najiahidi kujifunza hii lugha ili nipate kujifunza mengi japo mwisho wa kusoma kwangu ni darasa la saba.
Lakini pia nikubali tuu kama Mkristo Mkatoliki hawa mapadre na maaskofu na waalimu wa kanisa hawajathubutu kutumegea japo kidogo kile walichofundishwa huko seminarini kwenye teologia na falsafa zao zaidi ni habari za watakatifu wa kizungu na wachache wa kiafrika, kwa hili nisiwalaumu lakini hawatutendei haki.
Lakini pia huyo OGU japo kuna maelezo mengi kumuhusu lkini baya lake naona ni moja kutokuwapa waisrael ruhusa ya kupita. Sijui kama kuna mabaya yake yamelioelekezwa kwake labda wajuzi watujuze.
Natoa tena na tena pongezi kwa kila mmoja aliechangia mada hii pamoja na mleta mada heri njema ziwe nanyi.
Kuna dhana kwamba huyu Canaan baada ya kulaaniwa na Baba yake ndo akaanza kuzaa watoto weusi, Na kwamba ndo mwanzo wa waafrica. Hebu shusha nondo kidogo tuu kuhusu hapoHii mada kuhusu canaan kulaaniwa na sio ham ni pana sana itabidi nipandishe uzi kabisa wa kujitegemea watu wafunguke
Ila hao wanefili ndo walisababisha Gharikamkuu habr za Jpili. Nimepita nikavutiwa ghafla ni Hii comment.
Nadhani chanzo cha uovu sio wanephili ni shetani. Wawepo au wasiwepo Uovu utakomeshwa.
Nadhani tukiendelea kumjifunza Mungu katika kauli zake za kwenye bibilia tutaishia kusema walipona wanane tu.
Kuna sehemu nyingi wanaandikwa wanaume tu, mfano Wale watu 5000 waliolishwa na yesu, au wale waliobatizw siku ya pentecoste. ila mahala ambapo mwanamke ameandikwa nadhani hatuhitaji kulazimisha kuwa kuna watu bado walirukwa.
Mfano Mathayo 1, anapozungumzia genealogy ya Yesu wanawake wanarukwa, mahala ambapo palisisitizwa waliwekwa mmfano Tamari aliyewazaa Peresi na Zera kwa Baba mkwe yake Yuda, au Rahabu au mke wa Boaz RUth.
mfano.
HApo hao watu wanane waliopona walichambuliwa na wasifu wao na jinsia zao. Tofauti na vyanzo vingine ambavyo viliweka idadi jumlajumla bila mchanganuo. Hivyo haitupi mwanya wa kuwa kuna watu waliingia kwenye safina lakni hawakutambuliwa unless wawe wanajinsi ya tatu ambayo haipo.
naendelea kutafakari.
barikiwa mkuu.
Vyovyote mkuu,huo mstari si unaona unaoneshakuwa shetani ndiye atafungwa miaka 1000? anafungwaje wakati yupo kifungoni?acha kuwa mgumu mimi nimesema malaika hao wamefungwa??
Au hukuelewa nimesema aliyefungwa ni shetani na ninakazia tena ni baada ya yesu kufufuka kama nilikosea kuandika nisamehe kwa hilo mkuu
Kingine ujue kama shetani angeoparate duniani mpaka Leo ungewaona wanefili wa kizazi kipya but wanao oprate now ni malaika Walio chini yake. Tena hawana nguvu wala haki hiyo kwa sababu kabla ya agano jipya walijiamlia kumwingia mwanadamu watakavyo.ila sio kama sasa hawa malaika kukutumikisha jua umeamua mwenyewe uliza tena mkuu nakukaribisha kwa upendo
Hapana mkuu canaan alilaaniwa sababu inadaiwa ham alimlala mama yake yaani mke wa Noah ndio akazaliwa canaan ila nadharia nyingine inasema canaan ndio aliona uchi wa nuhu ndio akaenda kumwambia ham ambaye naye ndio akaenda kuwaambia kina shem na japhet nadharia ya tatu inasema Ham alimuhasi Nuhu ndio maana hakupata watoto wengine baada ya gharika hivyo kwa hasira akamlaani canaan sababu ni kizazi cha HAM maana HAM aliua kizazi cha nuhu pia so bado kuna debate god willing ntapandisha uzi tujadili kwa kinaKuna dhana kwamba huyu Canaan baada ya kulaaniwa na Baba yake ndo akaanza kuzaa watoto weusi, Na kwamba ndo mwanzo wa waafrica. Hebu shusha nondo kidogo tuu kuhusu hapo
Hizi ni story tu za wazungu hakuna ukweli hapo.Kuna dhana kwamba huyu Canaan baada ya kulaaniwa na Baba yake ndo akaanza kuzaa watoto weusi, Na kwamba ndo mwanzo wa waafrica. Hebu shusha nondo kidogo tuu kuhusu hapo
Soma tena ulichoquote hapoVyovyote mkuu,huo mstari si unaona unaoneshakuwa shetani ndiye atafungwa miaka 1000? anafungwaje wakati yupo kifungoni?