Mfalme Suleiman (970-931BCE) ndie tajiri zaidi kuwahi kutokea duniani

Huyo feki. mansa Musa wa Mali alikuwa na dollar za kimarekani billion 400.
 
Hadithi ni hadith tu, tena bora za mababu uwongo wao una kiasi, ila hao wazee wa dini uwongo umepitiliza mkuu,

Oh Suleiman alikuwa na hekima, aliongea na majini, alikuwa tajiri sana, alikuwa na wake 700

Wote huu uwongo mtamu,

Njoo basi na ithibati thabiti ili tukuamini
 
Mfalme Suleiman Hakuwa mtoto wa mchepuko alikuwa mtoto wa halali wa Mfalme Daudi unasema maneno ya uongo mkuu kenshi

mama wa sulemani (BATH-SHEBA) alikuwa tayari ni mke wa mtu (URIA MHITI) huyu URIA alikuwa askari wa mfalme DAUDI. so mfalme DAUDI alipo nogewa na penzi la BATH SHEBA akafanya mbinu za kifo cha URIA vitani.
 
Aisee,hebu nenda deep zaidi kaka.Tupe taarifa zaidi
Na alikua mzee wa totozi balaa...

Alikua na wanawake wa kihalali 300 na vimada 700, hata "ukiwashugulikia" kila mmoja kwa siku hauwamalizi ndani ya mwaka mmoja
 

Mkuu sio kwamba wanatumia ile hekima ya solomon ili kufanikisha agenda zao?
 
Rothchild ana utajiri unaokadiriwa kufikia dollar za kimarekani trillion 100 na ni utajiri unaotokana na financial assets alizo invest dunian kote
lakini mbona kama ni uvumi tu,anaeshikilia sasa mali ya rothchild sasa ni kijana Nathaniel Rothchild mbona yuko simple tu,na hivi karibuni walikua na beef na tycoon la kiindonesia,walipigana vijembe vya hatari kule twitter,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…