Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

Huyo Mfalme kama kachoka kukaa Ikulu afanye huo ujinga, analindwa na Israel na USA lakini yuko wapi Assad aliyekuwa analindwa na Russia
Mpango wa kuijenga Gaza utakuwa chini ya Saud Arabia Kwa kifupi waarabu wengi wanataka wapalestina waondoke ili wafanye biashara hapo Gaza..
Sometimes jitahidini kusoma articles mbalimbali utapata elimu kidogo, nyie wapalestina wa vingunguti bado hamjui kinachofanyika hao waarabu hawapo kwenye udini na hawana uchungu hata kidogo dhidi ya ndugu zao wapalestina, Iran pekee ndiyo nchi inayowatetea wapalestina Kwa nguvu kubwa ila hao wengine ni matatizo tu
 
Wapalestina ni tatizo duniani hata waarabu wenzao wanawakataa.Wajordan na wapalestina ni jamii moja.Nashangaa huyu mfalme kukataa ndugu zake.Ni rahisi Wapalestina kuishi na waarabu wenzao Sababu za kiutamaduni na kiimani kuliko kuishi na wayahudi!
 
Wapalestina ni tatizo duniani hata waarabu wenzao wanawakataa.Wajordan na wapalestina ni jamii moja.Nashangaa huyu mfalme kukataa ndugu zake.Ni rahisi Wapalestina kuishi na waarabu wenzao Sababu za kiutamaduni na kiimani kuliko kuishi na wayahudi!
Gaza ilikuwa inatumika kinafki sana, Watu wengi wametakatisha pesa na unafki wao,

Huu ni ukuta unazuia wapalestina kuingia Misri,

 
Nimeiona kwenye live, Fox News! In short nilisthtuka sana, sikutegemea kabisa kuna nchi ya kiarabu inaweza kubadili msimamo wao! Unajua wazi pressure ya Trump behind the scene, halafu miaka yote Utawala wa Jordan uko kwa support kubwa ya US!
Kiingereza hujui
 
Habari ya uongo hiyo. Msimamo wa Jordan kwamba hawana mpango wa kuwachua Wapalestina.

Jana hata mfalme hakumkubalia na leo waziri wao wa Mambo ya nje amesisitiza.


View: https://m.youtube.com/watch?v=DDICcgi3o8k
 
Mfalme wa Jordan kashatoa maamuzi

hao wengine wataendelea kupiga bla bla
Tupo hapa JF halafu uoene kama watatekeleza,tutakumbushana na Houthi wamesema wanawasubilia US waanze kuwatoa kwa nguvu,then wanaanza upya mashambulizi na kublock njia ya bahari. Hapo bado Hizbolah hawaja ongea halafu kuna wanamgambo wa Iraq,hii vita ilipoa ila Trump anairudisha tena upya.Hii zone Trump alianza nayo vizuri,ila anapo elekea ndio ataharibu kabisa.
 
Hivi we mtoa mada unadhani Hamas vichaa wanatishwa na Trump? Pili huyo King wa Jordan yeye nani mpaa akubali toka lini Hamas walikuwa watu wa Jordan πŸ˜„ 🀣

Huyo kwao Jordan kuna watu hawamtaki wanamuona ni kibaraka tu.
 
Halafu kuna watu wanaswali swala tano na kuwapeleka watoto madrasa. Wanakazia elimu dinikuliko elimu dunia. Dini gani inaruhusu ubaguzi kati ya watu na watu. Watu hawajui historia ya dunia. Wanabaguana wao kwa wao sembuse wewe Mtanzania . Aisee ukienda Dubai wnabaguana kifamilia hivyo hivyo hadi Saudia. Wavaa makobazi inabidi waamke aisee .
 
Toka mwanzo nilijua kuwa mr. Trump anatania. Kumbe mimi ndiye nilikuwa natania kuamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…