DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
TomasoNyie wengine akina Ruthu
Kuna Pepsi baridiiii hapa unatumiaawanaendan na jpm
Nani alikuambia alama ya bangi ni aibu? Huyu ni kawaida yake na kama hujazoea basi ni lazima ushangae. Ishi kwa wakati.View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Awe muhuni,msela,sijui makitu gani ila swala ni mfalme wa huko kwao,na inchi kwa inchi zaweza shirikiana kwa namna moja ama nyingineView attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Unamanisha Nini?Nyie wengine akina Ruthu
Kwani uislamu umeruhusu tawala za kifalme?Ukiwa mfalme wa taifa la kiislamu lazima uwe imamu? Na mbaya wafalme na matajiri wa kiarabu watoto wao kusoma na kula raha ni ulaya na USA. Hapo chacha!
Na washawasha!
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba ALIKUJA NA KITANDA CHAKE .Mimi sitaki kuongelea sana kuhusu hiyo Picha. Ila kafanya kufuru sana kwenye hoteli aliyofikia. Wamefumua kila kitu kuanzia AC, TV, mafridge, hadi mlango wameweka wa kwao. Nikajiuliza siku anaondoka hivyo vitu wataviondoa au vitabaki pale kama kumbukumbu?
halafu anaitwa "mtukufu" jamani Kesho kwa Mungu kuna moto...View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
mkuu Mchambuzi, hii mbona ngumu sana kumeza mkuu?View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Kuna Pepsi baridiiii hapa unatumiaa
Anaweza kutubu mwishonihalafu anaitwa "mtukufu" jamani Kesho kwa Mungu kuna moto...
Ulitaka alale kwenye mkeka?Taarifa zaidi zinadokeza kwamba ALIKUJA NA KITANDA CHAKE .
It's genuine. Camera zetu zilimkuta Mercury Pub & Restaurant inayomilikiwa na mjumbe wa baraza la wawakilishi Mh. Simai Mpakabasi (CCM) na pia alipita Memories shop.