DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
View attachment 425812
Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?
@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Ni yeye kweli mtukufu mfalme au mnamuonea