Kwel, m nlkuw nashangaa miguu ilichokibeba juu tofautHio picha imetengenezwa tena na Mwanfunzi asiyejua vzuri ndio maana unaona hakuna uhusiano kati ya Miguu na eneo la kiwiliwili mpaka kichwani. Itz Photoshop material. Tujifunze kuheshimu viongoz wa mataifa ya wenzetu.
Photoshop hiyo, Mfalme wa Moroco hawezi kuvaa Tishert yenye Picha la Bhangi lililo nakshiwa kwa Rangi ya bendera za Marekani
Kumbe pia ni shoga Duuuh
[emoji86] [emoji15] [emoji86] [emoji15]
Zaidi ya hizo[emoji86] [emoji15] [emoji86] [emoji15]
Nauliza tu; una ml. 8?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
It's genuine. Camera zetu zilimkuta Mercury Pub & Restaurant inayomilikiwa na mjumbe wa baraza la wawakilishi Mh. Simai Mpakabasi (CCM) na pia alipita Memories shop.
Pengine sio mabaya maana mheshimiwa Msukuma Mbunge wa Geita aliambia umma kwamba bangi ni jambo la kawaida miongoni kwa wabunge na mawaziri.Kuanzia sa hiv upo chinya ulinz kwakuongea mabaya kuhusu mfalme mtukufu [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji119] kila la heriZaidi ya hizo
Usijali[emoji119] kila la heri
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kweli mkuu.Taarifa zaidi zinadokeza kwamba ALIKUJA NA KITANDA CHAKE .