Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Ndio maana Putin kapiga marufuku takataka za aina hii. Ni kosa kudhalilisha viongozi Kwa Photoshop Urusi.
 
mkuu unakosea sio wakristo wote wanapiga pork.. wakristo wengine pork ni haramu kubwa
 
Msukuma si mshamba yuleee......
 
Hayo ni maisha yake binafsi. Usiingize na ahadi alizotoa
 
Reactions: MC7
tisheti ina picha ya jani gani?naona kama muarobaini au fenethi? may be sitafelii
Mkuu, usifikiri kila mtu anajua kuwa hiyo ni picha ya jani. Mwingine kavutiwa tu na mpangilio wa hizo rangi. Yawezekana pia hajawahi kuona hiyo bangi inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…