Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Hivi wewe ni kipofu? Wahi ccbrt ukapimwe macho picha inaonesha miguu yote miwili.

213989f4fc982e5fea58806a6ffa2211.jpg

Wewe ndio unahitaji kumwona daktari wa macho.
 
213989f4fc982e5fea58806a6ffa2211.jpg

Wewe ndio unahitaji kumwona daktari wa macho.
Si mna cyber crime ACT? Kama ni Photoshop na uchochezi kuwasilisha genuine images za mfalme akiwa na vazi linalotukuza bangi, Kwanini msiende mahakamani? Hili sio suala la itikadi za vyama, tukubali kwamba taasisi ya Rais imeingizwa chaka, tujifunze isitokee tena.
 
I'm not a fan of cybercrime act of Tanzania. I think it's repressive and so do the international community.

I believe in freedom of speech, 100%.

What I do believe, as far as I can see, is that this photo is missing the left leg of the King.

There are some who accused me of being blind. But this is what I see on my end. Therefore, it has to be fake.

And like Kiranga, I believe that the King would not wear such a shirt in a conservative host nation on his first ever visit.

Dar Es Salaam ain't Paris.
 
Unfortunately ukweli ni kwamba mgeni wa Rais Magufuli, mfalme wa Morocco juzi alikuwa club mercury Zanzibar na vazi la kutukuza bangi. Kwa wanaobisha na kusema ni Photoshop na uchochezi, waende mahakamani, tutakutana huko. Vinginevyo tuweke siasa pembeni, hii ni aibu kwa taasisi yetu ya Urais, tujifunze kutorudia kosa kama hili la uongozi wa nchi kukumbatia viongozi wa nje wasioendana na maadili yetu kama watanzania.
 
Siongelei siasa hapa. Just simple facts.

Maamuzi ya mavazi ya mgeni wa Magufuli siyo tatizo la serikali. Huwezi kumzuia MFALME kuvaa nguo apendavyo. Ila wageni hujua do's and don'ts za wenyeji wao.

Lakini haibadilishi maamuzi yangu ya kusema kuwa hii picha ni FAKE.

Kama alikuwa Club Mercury au Bilicanas, it's his business. Na ingekuwa vizuri kama tungeonyeshwa picha zaidi ili watu waamini kuwa alivaa vazi hili.

Lazima kutakuwa na watu wengi / mapaparazi wamempiga picha akiwa huko katika hilo vazi. Mbona picha hazipo mitandaoni?

I can sell you the Brooklyn Bridge as well.
 
Waarabu wenye msimamo mkali are highly overrated. Wa Morocco tuko nao Unyamwezini wanakula ma burger ya kinyamwezi kama hawana akili nzuri.

Ushahidi beyond reasonable doubt ni upi? Reason gani? Doubt gani?

Unafahamu ukiamua kubishia kitu kwa reasonable doubt ambayo haijawa defined hata wewe mwenyewe unaweza kujibishia kwamba kweli upo kwa kutumia "reasonable doubt" ?
Kiranga bana. Ndio maana nikakuambia imani wakati mwingine inaaply katika mazingira fulani. Hii ni kwa kuwa mimi/wewe kama individual hatuwezi kuwa na taarifa zote, hivyo fulani akisema jambo fulani au akitoa taarifa fulani inabidi tuikubali.

Nawe tena baada ya kuamini umeenda mbali na kuleta dhana nyingine kuwa jamaa ni gay. Nawe unaweza japo kuturidhisha kuwa unakaribia kukubaliana na hilo?
 
View attachment 425812

Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?

@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Pamoja hizo nguo zake je umeangalia maendeleo ya nchi anayoiongoza Na ya kwako Kama vinafanana? Jaribu kuwa na akili kidogo..
 
My man Mchambuzi anasema alikuwepo na picha anazo kwenye camera.

Nimeitazama habari upya kwa heshima ya Mchambuzi.

Waholanzi wanasema jamaa gay.Kama ni kweli basi he is even more counterculture by our standards. Apparently in Morocco that is no big deal.

Imani haikwepeki. Mimi sina tatizo na imani. Ukishapanga mambo ya kesho tu ushapanga kwa imani. Kesho inaweza isiwepo. Ukitembea ile hatua unayopiga ni imani. Hujui kama hapo unapokanyaga hamna sinkhole.

Sina tatizo na imani. Nina tatizo na imani potofu.

Question everything, question faith, question religion. Question even questioning.
 
Pamoja hizo nguo zake je umeangalia maendeleo ya nchi anayoiongoza Na ya kwako Kama vinafanana? Jaribu kuwa na akili kidogo..
Inawezekana kabisa sina akili lakini wewe ni hauna uelewa hata kidogo. GDP ya Morocco ni about $100billion, GDP ya Tanzania ni about $50billion. Upo hapo? Barani Afrika nchi inayoongoza ni Nigeria. Morocco ni ya tano ikitanguliwa na Nigeria, South Africa, Egypt, na Algeria, upo? Morocco imeipita Angola kwa kiasi kidogo sana, baada ya Angola ni Tanzania tukiwa ni wa saba, upo? Tunajitapa kwamba hatuhitaji misaada, mwisho wa siku tunakimbilia misaada ya nchi inayofanana na Angola kiuchumi.
 
My man Mchambuzi anasema alikuwepo na picha anazo kwenye camera.

Nimeitazama habari upya kwa heshima ya Mchambuzi.

Waholanzi wanasema jamaa gay.Kama ni kweli basi he is even more counterculture by our standards. Apparently in Morocco that is no big deal.

Imani haikwepeki. Mimi sina tatizo na imani. Ukishapanga mambo ya kesho tu ushapanga kwa imani. Kesho inaweza isiwepo. Ukitembea ile hatua unayopiga ni imani. Hujui kama hapo unapokanyaga hamna sinkhole.

Sina tatizo na imani. Nina tatizo na imani potofu.

Question everything, question faith, question religion. Question even questioning.
Sawa. Hata mimi nilijiridhisha kwanza ndio maana nikakoment. Bahati mbaya hukutaka kuelewa kuwa nami nilijiridhisha kuwa mtu huyo kwenye picha ndiye aliyepokelewa kiutukufu na Rais. So what will happen as far as arab spring is concerned? Nothing. Wanamjua
 
Ukitaka habari za kujiridhisha bila kuelezea mipaka yako ni ipi tutashindwa kuelewa kitu.Mpaka sasa kujiridhisha kwetu kokote kuna mipaka. Na mipaka inazua maswali kuliko majibu kuhusu kujiridhisha kwetu.

Inawezekana hakuna Mfalme wa Morocco, hakuna nchi inayoitwa Morocco, wewe hupo, mimi sipo, dunia nzima haipo, kila kitu ni ndoto kubwa katika computer kubwa iliyotengeneza a holographic universe.

View attachment 425812

Mfalme akiwa katika starehe zake Zanzibar. Kama Taifa, tunajivunia nini Rais wetu kupokea mgeni wa aina hii? Tukisema hii ni aibu (alama ya bangi kifuani) kwa taasisi ya Rais, tutaitwa wachochezi?

@Ritz,@msemajiukweli,Lizaboni, @nguruvi3,Mag3
Mkuu ni kwamba,baada ya kumaliza ziara ya kiserikali Dar ndo akaenda ziara binafsi Zanzibar.

Hiyo ni ziara binafsi kwahiyo lazima awe kibinafsi nafsi.
Freedom of enjoyment.
 
Mbona jamaa kama Mlanguzi wa Bangi ivi
Hahaha,

Jamaa anapenda kula bata kihuni huni kama si mfalme.

Kuna siku alikuwa anakula bata kwenye boat lake baharini kati ya Hispania na Morocco, wanajeshi wa Hispania wakamfuatilia kutaka kumkamata wakifikiri kwamba ni uuza madawa ya kulevya anataka kuyapitisha kuyapeleka Hispania (Ufukwe huo ni maarufu kwa shughuli hizo). Walipomkaribia akawaambia "Mnanijua mimi ni nani? Mnanijua mimi ni nani?"

Alikuwa amevaa mikofia kofia na miwani yake haonekani vizuri. Alivyovua miwani na kofia wakamjua na kumuomba msamaha. Akampigia simu Mfalme wa Uhispania, mfalme wa Uhispania akamtumia salamu rasmi za kumuomba radhi.

Mi nikasema mfalme mzima anatanua bila hata ya mawasiliano na vyombo vya usalama vya nchi jirani kwamba mfalme atakuwa anga hizi leo? Kama wale wanajeshi wa Uhispania wangesema wafanye uhuni na kuwauilia mbali hawa wafanya biashara ya madawa ya kulevya kwa kuwapiga risasi? Si mfalme angeweza kuuawa?

Nimeangalia video zake jamaa anajichanganya na watu Magufuli anasingiziwa, yaani ni binge la security risk.

Lakini wananchi wake wanampenda sanak wa sababu kaleta mabadiliko angalau katika hilo, baba yake King Hassan alikuwa mtu conservative sana, si mtu wa kujichanganya sana na watu.

Kwa hiyo wa Morocco wanampenda sana.

Ona hapa kama Michael Jackson fulani at his prime

Back
Top Bottom