Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.
Credit: East Africa Radio
View attachment 2521594
View attachment 2521604
Kuna wanaume hapo wana wake na watoto wanashabiki huu upumbavu
mwaaaaaaπππππππShenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] natamani nikutane nae nimsugue na msasa wa jang'ombehapo alipo ana nyege hatariii..inabidi wahuni wahuko waandae na misasa laini[emoji28][emoji28][emoji28]
Naona kuna wanaume wana ndevu kabisa wanamshangilia na ni wafuasi wake π€£π€£π€£Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.
Credit: East Africa Radio
View attachment 2521594
View attachment 2521604
Kwa sababu anamchokoza "mfalme"!Hahaha eti ewe mtu..
kama maneno ya bibilia
Du! Ila baadhi ya watanzania ni majitu ya ovyo sana. Ona wanavyomshangilia!! π³ πDiana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.
Credit: East Africa Radio
View attachment 2521594
View attachment 2521604
Jamani, hakuna kitu cha kijinga duniani kama diniDiana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.
Credit: East Africa Radio
View attachment 2521594
View attachment 2521604
Usi judge mkuuDu! Ila baadhi ya watanzania ni majitu ya ovyo sana. Ona wanavyomshangilia!! π³ π
Hizi ni nyakati za mwisho. Shetani ana nguvu sana. Kila mmoja achukue tahadhari kivyake. Wanaoendelea kupotea na kumtumikia shetani kwa nguvu zote, waacheni wapotee kwa kukosa maarifa.Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ameachiwa huru leo Februari 18 baada ya kumaliza kifungo chake cha mwaka mmoja katika gereza kuu la Butimba, ambapo mahakama iliamuru atumikie mwezi mmoja gerezani baada ya kukaa mahabusu miezi 11.
Credit: East Africa Radio
View attachment 2521594
View attachment 2521604
Mfalme anakuaje na mume uliza anamke?ana Mume?
Kama unataka olewa na mfalme sawa...uliwahi sikia wapi mfalme mwanamke?Naomba namba zake ninataka nijitoe mhanga niweke ndani mrembo huyo potelea pote
Hawa ndo wale wa slavely matronsWewe ulisikia wapi mfalme akawa na mume??, angekuwa Malkia hapo sawa ungeuliza hilo swali.
Huyo ni mfalme Zumaridi atakuwa anao "wake" (Mamalkia) π€£π€£
Mkuu kwenye iyo avatar picha yako kweli marinda yalipona?Mfalme anakuaje na mume uliza anamke?