Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

[emoji23]nmependa jinsi ulivyofikisha ujumbe indirect ..hili tutaliangalia mkuu
 

wale wa cuba tumeelewa[emoji2960][emoji1666][emoji1]
 
Sijaelewa huu uzi unamaanisha nini, Mfalme Zumaridi yupo Gerezani karibu mwaka sasa..
Ni kweli yupo Gerezani kifungo cha nje, ndio maana wapiga vyombo wanajipigia watakavyo, Hali imekuwa kero kwa waumini japo kuwa ndio wanatoa sadaka,


Soma kwa kukodoa
 
Taratiiiibu watu wanaanza kumwelewa Moses Kulila! R.I.P
 

Halafu hivi kwa nini matajiri huzaliwa utawala ukiwa wa Muislamu nachek kwa Ruksa, Jakaya na Zumaridi ndio pesa ipoipo alipokuepo mwanajumuiya wa kulola hali tete, nche nkapa tete, mchonga nae ndio balaa kabisa
 
Fasihi
 
Napenda sana aina hii ya uandishi mie!

Hizi mbinu walizitumia wazee wa zamani kutoa ujumbe bila kumkera mhabarishwaji.

Unaanza kupigwa hadithi za mbali: "kakaenda kakarudi" na matusi kibao.

Ukija kuipima context unajua kabisa anayesemwa hapo ni wewe, lakini unabakia tu kumezea, uteme ama umeze ni hiyari yako!

Huyu zumaridi huyu nyie, hivi alimaanisha nini kuwarejesha wachungaji waliofukuzwa kwa uzinzi hapo kanisani kwake?

Alitaka kutudhihirishia nini sisi waumini?
Kwamba mtangulizi wake alikuwa katili sana kushindwa kuwasamehe ama?

Ona sasa wanavyozidi kutafuna kondoo zake bila ya hiyana mchana kweupe!
Akiwauliza...." ni kweli yanayosemwa na waumini ?"

Utasikia majibu ya kishenzi toka kwa hao wachungaji mbwa: "uongo huo si kweli, mwenye ushahidi na aulete"!

Utakuta kimyaaaaaa hachukui hatua yoyote hata ile ya kuutafuta ukweli, imekwisha hiyo na maisha yanaendelea!

Jamani nyie huyu Zumaridi huyu!
 
You are the super genius
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni
 
Si wote,, actually upbringing nayo huchangia,, hasa kwa tuliozaliwa bush country,, ushamba mwingi sana

Kweli viongozi waliozaliwa vijijini ushamba, roho mbaya, yaani hawana utu kabisa mambo ya vijijini wanataka kuyatumia na mjini
 
Kweli viongozi waliozaliwa vijijini ushamba, roho mbaya, yaani hawana utu kabisa mambo ya vijijini wanataka kuyatumia na mjini
Msoga ni mjini? Mkuranga ni mjini? Lupaso ni mjini? Ni kiongozi gani nchi hii amekulia mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…