Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Huu ndio utumwa sasa!! hakuna wa kuwatoa huku utumwani jamani ,wenye mamlaka mpooo?
 
Hawa mazuzu nao acha wapigwe tu haya mambo kila siku yanaandikwa na kuzungumzwa lakini hawasikii
 
Hii si sawa.
 
Hujawahi kujiuliza kwann majini,mapepo,mashetani yanawatesa sana wanawake nauku YESU aliyasukumia Nguruwe? Kwann Nguruwe hawasumbiliwi na mashetani kuliko Wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona hii habari nikaamua niingie mwenyewe YouTube nijionee, duu kwa nilichokiona hapana.
 
na hapa sio Airport ya mwanza hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…