Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Na .mwamposa tapeli mnamuachaje ?

Kabla hamjaanza na kina zumaridi ,malizaneni kwanza na kina mwamposa ,gwajima,rwakatale, kakobe, na wanaojiita manabii na mitume humu dar na mikoani ,
Wapo wengi saana
 
Kusali na kuomba kwa mizimu ya mababu wa kizungu ni uzwazwa wakati tuna mababu zetu.
Nani alikwambia waafrika walikuwa hawavai? Kulikuwa na weaving industry hata kabla ya kuja mzungu. Buganda walikuwa hadi wanafanya upasuaji
kama hautaki kucopy kwa wazungu na waarabu
Unatakiwa utembee uchi.
Ili tudumishe mila na desturi ya mtu mweusi
 
Uzombie unawapata wanawake tu, wanaume wanawashika mikono ila hawaupati.
 
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume...
Hakuna siku nitarudi kisali kanisan katoriki ni bora nisiende kusali maana siwezi kwenda kumuabudu shetani live na akili zangu ,Kusali njia ya mslaba(wakati wa kwalesima),Rosali takatifu. Sitarudi never ever
 
Nadhani mwezi mmoja, yaani wiki nne zimetosha serikali kubaini utapeli wake na kumfungia kutoa huduma zake jijini Mwanza.
 
Kachanganyikiwa huyu. Kinachonisikitisha ni kuona ana wafuasi kibao.
 
sasa aliemtia mimba mfalme sijui tumwitaje. anyway huyo ndio baharia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…