Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
Wanapotosha sana watuUlimwengu wa mitume na manabii huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapotosha sana watuUlimwengu wa mitume na manabii huu.
Aunge juhudi litafunguliwa.Nabii shilla aliwahipinga likafungwa akaunga juhudi alali njaa tena siku hizi anasifu na kuabudu kishindo cha awamu pendwaLimefungiwa muda mfupi uliopita
😂😂😂😂😂Huoni Kama kanisa mkuu. Ila hili wameliupgradeAngekuwa mzungu au mwarabu huenda mngeamini. Walau naye kaanzisha dhehebu la waafrika maana waafrika tu ndiyo tulikana madhehebu yetu na kuanza kufuata ya weupe na ndiyo maana ni bara maskini kuliko yote. Waindi wana madhehebu yao, waarabu pia, wachina, wazungu sisi ni wazee wa kucopy na tunajifanya tunaujua Ukristo na Uislam kuliko hata waanzilishi.
Go Zumaridi japo mimi siwezi kuwa muumini wako
Sema wajinga ndio waliowao mkuu.Wanapotosha sana watu
Hapo kakamatwaDuu kuna jamaa namuona kwenye video ana kazi na heshima yake nzuri hapo mwanza
Kwa kujiita tu mfalme wakati ni Ke unaona hamna kitu hapo
Hosea4:6ASema wajinga ndio waliowao mkuu.
2 Timotheo 4:1-4Ni kweli mkuu. Mungu atusaidie sana kutuelekeza wapi panakweli.! Mie najiulizaga kwanini mambo kama haya yanatokea kama yapo kinyume naye kwanini aruhusu watu wake waangamie kama anatupenda kweli? Ilipaswa unapotokea ujinga au upotoshaji wowote juu yake angewawajibisha ili watu wamheshimu lakini Mungu anaangalia tu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Haha maandiko yalishasema kumbe, wacha wapigwe tuu.Hosea4:6A
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
TAYARI MKUUHaha maandiko yalishasema kumbe, wacha wapigwe tuu.
Mungu wetu ni Mungu wa uhuru asiyeingilia uchaguzi wetu binafsi ametupa uwezo wa sisi kuamua mambo yetu binafsi, alichofanya ni kutoa muongozo kupitia neno lake ili tufahamu lipi jema na lipi ni baya lakini halazimishi utende yoyote kati ya hayoNi kweli mkuu. Mungu atusaidie sana kutuelekeza wapi panakweli.! Mie najiulizaga kwanini mambo kama haya yanatokea kama yapo kinyume naye kwanini aruhusu watu wake waangamie kama anatupenda kweli? Ilipaswa unapotokea ujinga au upotoshaji wowote juu yake angewawajibisha ili watu wamheshimu lakini Mungu anaangalia tu [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]