Hii picha inaonyesha ni kiasi gani na kwa kiwango gani binadamu anaweza kukosa akili na maarifa. Kumwinamia na kumuabudi kiumbe kama wewe ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa na akili.
Stuuuped indeed!!
50 anakwambia, "baby you could start on top or ALL FOURS"Nimeona mkuu 😍😍😍😍
Miuno nazi 🤣Mauno yake umeyaona hapo juu?
Anakwambia yesu ni wazamani, wakati wake umekwisha.[emoji28][emoji28]Hicho kitu natamani nikijue na mimi[emoji28][emoji28][emoji28]
haha hapana kwa kweli, ntavunja moja ya terms za sokovia accordsdronedrake Ukishatamani tuma na ya kutolea🤣🤣🤣🤣
Haya mafundisho ya hawa mitume na manabii wa siku hizi huwafanya wengi kuwa watumwa wao, na mbaya zaidI kwasababu wengi wa waumini wao hawana maarifa yoyote ya biblia hujikuta wanatumbukizwa kwenye mafundisho potofu huku wao wakiamini wako kwenye njia salama.
Njaa zao za kutafuta miujiza huwapofusha akili na macho yao wasione hatari iliyowazunguka au inayowakaribia kutoka kwa mafundisho ya hao manabii wa uongo.
Tumfuteni kwanza Yesu Kristu kupitia maandiko ya biblia, tusijidharau kwa kujiona tuna dhambi sana au vyovyote vile.
Tukishamjua Yesu yeye ndie atatutendea miujiza tunayoitafuta kwasababu yeye ndie mtenda miujiza, sio tunapoteza muda kuitafuta miujiza wakati Yesu Kristu mwenyewe hatumjui, tunajidanganya, na tutachezewa sana na hawa manabii wa uongo.
Binadamu hasa Waafrika baada ya Kuona Dini walizomo haziwakomboi na Matatizo yao hayatatuliki bali wanapewa Matumaini tu. Sasa Walioona Fursa zinazopigwa huko na Makanisa Makubwa na Madhehebu makubwa wakaamua kuanzisha Makanisa yao pia
Lengo likiwa ni Lile lile Kuchuma Mali kutoka Kwa Watu wenye Shida.
Kumbuka
1. Sadaka haendi Kwa Mungu ingawa umeaminishwa hivyo
2. Mungu hakupi wala kukunyima Riziki ingawa umeaminishwa hivyo
3. Mungu hana mtume wala nabii ingawa Umeaminishwa hivyo
4. Mungu hamjaribu binadamu. Binadamu anajaribiwa na Binadamu mwenzake au viumbe wengine visivyo mwanadamu
Kwahiyo Makanisa ya Sasa Yanatumia mianya hiyo Kukupakua vizuri pesa zako
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifaView attachment 2134086
naongezea
Acha wajinga waendelee kuibiwaKwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.
Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.
Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?
Naambatanisha baadhi ya video zake
View attachment 2134082
View attachment 2134083
Bora wamemkamata yasije kutokea yale ya Kibwetere.Hii picha inaonyesha ni kiasi gani na kwa kiwango gani binadamu anaweza kukosa akili na maarifa. Kumwinamia na kumuabudi kiumbe kama wewe ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa na akili.
Stuuuped indeed!!
Pisi kali.moja hivi ningekuwa na hela ningeitafuita niipelekee motoNi nani haswa huyu ZUMARIDI?
Acha roho mbaya wewe.Anakwambia yesu ni wazamani, wakati wake umekwisha.[emoji28][emoji28]
Siku nikiona wife kaenda huko ntamkata miguu.
Sukuma la shinyanga hilo..toto toto jeupe shape kweli kweli..nikienda mwanza lazima nikasali pale mana kumuona tu faraja moyoni.Ila lina shepu sio mchezo bi zumaridi[emoji1]
Wewe sio malaya mbona unapiga miti wtatoto wa watu..Malaya fulani la kisukuma, lilikuwa linspigwa na jamaa yangu mmoja
Anashepu la kuvunja chagaKwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.
Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.
Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?
Naambatanisha baadhi ya video zake
View attachment 2134082
View attachment 2134083