Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Hii picha inaonyesha ni kiasi gani na kwa kiwango gani binadamu anaweza kukosa akili na maarifa. Kumwinamia na kumuabudi kiumbe kama wewe ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa na akili.

Stuuuped indeed!!

Usilaumu, linaweza kuwa igizo lenye malipo ya kufaa
 
Haya mafundisho ya hawa mitume na manabii wa siku hizi huwafanya wengi kuwa watumwa wao, na mbaya zaidI kwasababu wengi wa waumini wao hawana maarifa yoyote ya biblia hujikuta wanatumbukizwa kwenye mafundisho potofu huku wao wakiamini wako kwenye njia salama.

Njaa zao za kutafuta miujiza huwapofusha akili na macho yao wasione hatari iliyowazunguka au inayowakaribia kutoka kwa mafundisho ya hao manabii wa uongo.

Tumfuteni kwanza Yesu Kristu kupitia maandiko ya biblia, tusijidharau kwa kujiona tuna dhambi sana au vyovyote vile.

Tukishamjua Yesu yeye ndie atatutendea miujiza tunayoitafuta kwasababu yeye ndie mtenda miujiza, sio tunapoteza muda kuitafuta miujiza wakati Yesu Kristu mwenyewe hatumjui, tunajidanganya, na tutachezewa sana na hawa manabii wa uongo.

Mafundisho yasiyofaa na yale yanayofaa yalikuwako tangu zamani

Usisahau kuwa waliomuua Yesu walikua Mafarisayo na wakuu wa Makuhani
 
Anakwambia yesu ni wazamani, wakati wake umekwisha.[emoji28][emoji28]

Siku nikiona wife kaenda huko ntamkata miguu.

Yesu ni jana leo na milele

Unatamani kuwa na mke mlemavu eee?
 
Binadamu hasa Waafrika baada ya Kuona Dini walizomo haziwakomboi na Matatizo yao hayatatuliki bali wanapewa Matumaini tu. Sasa Walioona Fursa zinazopigwa huko na Makanisa Makubwa na Madhehebu makubwa wakaamua kuanzisha Makanisa yao pia

Lengo likiwa ni Lile lile Kuchuma Mali kutoka Kwa Watu wenye Shida.

Kumbuka
1. Sadaka haendi Kwa Mungu ingawa umeaminishwa hivyo

2. Mungu hakupi wala kukunyima Riziki ingawa umeaminishwa hivyo

3. Mungu hana mtume wala nabii ingawa Umeaminishwa hivyo

4. Mungu hamjaribu binadamu. Binadamu anajaribiwa na Binadamu mwenzake au viumbe wengine visivyo mwanadamu

Kwahiyo Makanisa ya Sasa Yanatumia mianya hiyo Kukupakua vizuri pesa zako

Umechukua mifano michache Halafu unalazimsha makanisa yote Ni mabaya. Makanisa mengi Ni mazuri ila Kuna machache ambayo ndio yanaharibu sifa.
 
Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.

Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.

Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?

Naambatanisha baadhi ya video zake

View attachment 2134082

View attachment 2134083
Acha wajinga waendelee kuibiwa
 
Hii picha inaonyesha ni kiasi gani na kwa kiwango gani binadamu anaweza kukosa akili na maarifa. Kumwinamia na kumuabudi kiumbe kama wewe ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa na akili.

Stuuuped indeed!!
Bora wamemkamata yasije kutokea yale ya Kibwetere.
Kwa maana kwa namna ya hii picha inaonesha ameshawaharibu kabisa kisaikolojia.
 
Kwa imani zetu wengi wetu tunaoishi duniani tunaongozwa na roho. Na hizo roho zipo za aina mbili; ile ya Mwenyezi Mungu muumbaji na mwenye mamlaka na ukuu juu ya wakuu wote, au roho mkuu wa giza shetani au ibilisi.

Tunaoishi duniani hatuwezi kukwepa ya dunia hii, lazima tutakutana nayo kwa kutaka au kutotaka. Leo nimekutana na habari za huyu mama anayeitwa MFALME ZUMARIDI zikisema amekamatwa na police kwa kuwaweka watu mateka.

Huyu ZUMARIDI ni nani haswa? Na anafanya nini na akiongozwa na roho yupi!?

Naambatanisha baadhi ya video zake

View attachment 2134082

View attachment 2134083
Anashepu la kuvunja chaga
 
Back
Top Bottom