Mfalme Zumaridi ni nani haswa?

Ndiyo maana anapata wafuasi wengi! Watakuwa wanaambizana kuhusu hayo mauno ya mfalme. Hivyo kila mtu anajikuta anashawishika kwenda kujionea kwa macho yake.
😅😅😅😅
 
Huyu dada ni psychopath kama sio sociopath (it depends na kilichomsababishia kuwa na hii akili au mental state.

Katika hali ya kawaida mtu kujiona ni MUNGU au kujipa mamlaka ya ki'MUNGU ni matokeo ya kurukwa na akili kuliko pitiliza standards za kawaida.

Huyu wakicheka nae basi wasubirie ya kibwetere au ya Jim Jones wa marekani na wengine wa kariba hii.

Nimetazama video zake nyingi huyu dada nimeona anachofanya si ibada ya kikristo bali huyu anatengeneza Cult clan ambayo anajua malengo yake ya baadae.

Kitendo cha baadhi ya waumini kumsujudia, yeye kujiita mungu, baadhi yao kuuza mali zao binafsi na kumpelekea yeye hizo pesa ni very questionable.

Inatishia sana usalama wa hawa watu maana huwezi jua atawafanya nini baadae endapo watazidi miminika kwake na uchizi wake ukamwambia kuwateketeza.

Wengi wa hawa ma cult leaders huwa wanakuwa sio timamu kiakili na utawajua tokana na tabia zao na mienendo.

Sasa hapa tayari nimeshawapa idea. Nendeni mkajifunze na kuwabaini.
 



🤔🤔🤔
 
Huyu ni miongon mwa mitume wa shetani.


Hebu tuthibitishie kwa uzuri nasi tukuelewe maana kusema tuu bila kuweka matendo yake haitoshi

Au ni yale mauno 🤣🤣🤣
 
Tapeli tu uyo anashukiwa na majini tu achomoke sasa police na huyo roho wake kwanza Mungu gani anaitwa Zumaradi kama sio uchawi
 
Sukuma gang ndio huyu sasa
 
AISEH polisi wamekupa uchumi kwa kumkamata huyo mama!! SASA chief hangaya ameona anazidiwa nini??!serikali haina Dini mbona?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…