tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Mauno ya uzinzi yaleMauno yake umeyaona hapo juu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mauno ya uzinzi yaleMauno yake umeyaona hapo juu?
Story za Yesu kamba tuHaya mafundisho ya hawa mitume na manabii wa siku hizi huwafanya wengi kuwa watumwa wao, na mbaya zaidI kwasababu wengi wa waumini wao hawana maarifa yoyote ya biblia hujikuta wanatumbukizwa kwenye mafundisho potofu huku wao wakiamini wako kwenye njia salama.
Njaa zao za kutafuta miujiza huwapofusha akili na macho yao wasione hatari iliyowazunguka au inayowakaribia kutoka kwa mafundisho ya hao manabii wa uongo.
Tumfuteni kwanza Yesu Kristu kupitia maandiko ya biblia, tusijidharau kwa kujiona tuna dhambi sana au vyovyote vile.
Tukishamjua Yesu yeye ndie atatutendea miujiza tunayoitafuta kwasababu yeye ndie mtenda miujiza, sio tunapoteza muda kuitafuta miujiza wakati Yesu Kristu mwenyewe hatumjui, tunajidanganya, na tutachezewa sana na hawa manabii wa uongo.
Sema Tu kanisa linalopelekea sadaka kwa Mungu nami nitaliita Kanisa hilo ni ZuriUmechukua mifano michache Halafu unalazimsha makanisa yote Ni mabaya. Makanisa mengi Ni mazuri ila Kuna machache ambayo ndio yanaharibu sifa.
Mfalme mwanamke ambaye ni mungu wa chini ya jua.Ni nani haswa huyu ZUMARIDI?
Nani anagwagwadu huyu? Kweli wanaume tutafute hela.Mauno yake umeyaona hapo juu?
Mfalme hawi mama.Anajiita Mungu kumbe!?
Nimesikia wakimuita baba[emoji1787][emoji1787]
Police mmh wanaroho mbayaNgoja tuone Kama ataweza kuwafanya police wamsujudie
Ule mjengo wewe unao?Anapigaje
Duh limekuwaje nabiiMalaya fulani la kisukuma, lilikuwa linspigwa na jamaa yangu mmoja
Ukiona hivyo ujue mambo yao yananyookaHii picha inaonyesha ni kiasi gani na kwa kiwango gani binadamu anaweza kukosa akili na maarifa. Kumwinamia na kumuabudi kiumbe kama wewe ni ukosefu mkubwa sana wa maarifa na akili.
Stuuuped indeed!!
Labda anazo 2Anajiita Mungu kumbe!?
Nimesikia wakimuita baba🤣🤣
Huyu zumaridi ni mwanamama anaeitwa Esther/Diana, ila huwa Luna nyakati roho ya mungu baba wa mbinguni hutumia(huvaa) mwili wake kama hekulu la kufikisha ujumbe kwa watu wake yaaani kama vile huko nyuma ilivyowahi kuwa, roho ya mungu ilivaa mwili na kuzaliwa mtu kama Kristo yesu..Yeye ni tofauti kidogo kwa kuwa yeye ni pure mwanadamu ila roho ya mungu huingia ndani yake na kufanya shughuli za kiungu kupitia yeye kama vile pepo linavyoingia kwa mtu na kufanya vurugu za kipepo kupitia mwili wa huyo alieingiliwa. Hivyo ikitokea umekututana nae huyu mwanamama akiwa tayari roho ya mungu imemshukia muite Mfalme mungu zumaridi...kwa kuwa nafsi ya mungu ipo ndani yake muda huo(hawi yeye) na vilevile ukimkuta roho ya mungu haijamshukia wakati huo huwa ni pure mwanadamu na muite tu Esther/Diana.(Source: Yeye mwenyewe)Ni nani haswa huyu ZUMARIDI?
Ana mwanamume?Huyu zumaridi ni mwanamama anaeitwa Esther/Diana, ila huwa Luna nyakati roho ya mungu baba wa mbinguni hutumia(huvaa) mwili wake kama hekulu la kufikisha ujumbe kwa watu wake yaaani kama vile huko nyuma ilivyowahi kuwa, roho ya mungu ilivaa mwili na kuzaliwa mtu kama Kristo yesu..Yeye ni tofauti kidogo kwa kuwa yeye ni pure mwanadamu ila roho ya mungu huingia ndani yake na kufanya shughuli za kiungu kupitia yeye kama vile pepo linavyoingia kwa mtu na kufanya vurugu za kipepo kupitia mwili wa huyo alieingiliwa. Hivyo ikitokea umekututana nae huyu mwanamama akiwa tayari roho ya mungu imemshukia muite Mfalme mungu zumaridi...kwa kuwa nafsi ya mungu ipo ndani yake muda huo(hawi yeye) na vilevile ukimkuta roho ya mungu haijamshukia wakati huo huwa ni pure mwanadamu na muite tu Esther/Diana.(Source: Yeye mwenyewe)
Mauno yake umeyaona hapo juu?