‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

Ninyi waandishi wa habari na makamera yenu, mnapiga picha popote ili mpate udaku wa kuuza magazeti yenu
🙆‍♂️ Mtu aliwa hoi hospitali anapbania uhai wake

🙆‍♂️Mtu akishafariki yupo kwenye jeneza

🙆‍♂️Mtu akipata ajali ya kutisha

🙆‍♂️Mtu akiwa kwenye mimbari ya mahakama akipigania haki na uhuru wake

KAMWE KAMA UMELELEWA MELEZI YA BABA NA MAMA USIWAPIGE PICHA
 
Mfme HV nilwaza tu ikiwa huyu Ni bint wangu careen ndio awe anafanya shughuki hz za kukusanya watu na kusafirisha watu kinyume na sheria mban nitaona aibu Kama mzaz
 

Tatizo Zumaridi alividharau vyombo vya dola bila kujua Ni mtego.
 
Hatimaye anayejiita MUNGU mahakamani,hata hivyo huu upuuzi uliachwa muda Sana!
 
mungu kukosa dhamana.. inasikitisha
 
Kuna mengi yanayoweza nyima mtuhumiwa zamana
1.kama akiwa nje asije ingilia upelelez
2.asije tokomea kusiko julikana
Sawa, ila bado tuko jamii inayotoa nafasi kwa baadhi ya watu kutoa hukumu kabla hukumu ili kutesana tu.
 
Ni upumbavu pili mtuhumiwa ana mali nyingi tena zisizohamishika kwann zisitumike kama dhamana.
Pili hili la hakimu husika kutokuwepo siku ya kesi husika, kwann asiwepo nani anabeba hii Dhamana ya mtu kupigwa tarehe tena hadi hakimu awepo.
Wabongo tuache ujuaji kidogo, maelezo yanasema kesi yake ya jinai haina dhamana wewe unataka apewe dhamana.

Labda icho unachokiomba ulishawahi kukisikia kinafanyika wapi? Mtu anakesi ya jinai alafu anapewa dhamana.

Sisi kilakitu nikulalamika tu, angepewa dhamana tungelalamika kwanini apewe dhamana kwa kesi ya jinai, amenyiwa bado tunalalamika vilevile
 
Wengi tunaamini mafundisho yake yanapingana na Mungu lakini tuwe waangalifu tusijipe kazi ya Mungu ya kumhukumu kutumia sheria zetu za Duniani.
Kama kumweka mtu rumande kwenye mrundikano wa watu na maisha mabovu kama ya mifugo sio lazima, basi huo ni uonevu ambao hata huyo Mungu hapendi.
 
Sasa wewe unaona hizo kesi tatu zina point za kumtia hatiani?
Hio ya usafirishaji haramu si hadi wapatikane ushahidi
 
Sasa wewe unaona hizo kesi tatu zina point za kumtia hatiani?
Hio ya usafirishaji haramu si hadi wapatikane ushahidi
Kwa uelewa wangu ni kuwa kesi yake itaendelea kusikilizwa akitokea rumande kwa sababu haina dhamana.

Endapo ushahidi usipothibitisha anayo hatia basi ataachiwa huru. Ila kesi kesi yake haitosikilizwa akitokea nyumbani haina dhamana, labda wamfutie ilo shitaka la jinai abaki na hayo mengine
 
Mungu Ni uonevu lakini,mbona waganga wa kienyeji waharibu Sana Maisha ya watu na hata ukienda kwenye majumba yao watu wamekusanyika bila kibali,wao mbona awakamatwi
 
Naona watuhumiwa wapigwa sana sasa hao ni kina mama uwe mwanaume ni kuvunjana miguu kma yule wa mauaji ya msuya.
Wenzako waligeuka makerubi, hawasikii maumivu wala amri walikuwa wanamlinda Mungu wao Zumaridi!! Wajinga ndio waliwao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…