‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

Naona "Mfalme" anaficha uso wake kwa kitenge,kwani Makerubi hawaruhusiwi kumpelekea 'make up' hapo Butimba?
 
Mungu amalinde mfalme wetu zumaridi..atoke gerezani kama.vile paulo na sira..

Tunakuombea zumaridi wetu..

#MaendeleoHayanaChama
 
Atakuja aachiwa tu

Atakuwa amejifunza kitu

Ova
 
Back
Top Bottom