‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

Zumaridi anateswa sababu ni mwanamke. Kuna wahubiri wangapi wanafanya mambo ya ajabu miaka na miaka na hawachukuliwi hatua? Vyama vya kutetea haki za wanawake viko wapi?
Hakuna wahubiri wanaovunja ndoa za watu kama wa makanisa mapya ya sasa, ni very tricky
 
Mungu
Ni uonevu lakini,mbona waganga wa kienyeji waharibu Sana Maisha ya watu na hata ukienda kwenye majumba yao watu wamekusanyika bila kibali,wao mbona awakamatwi
Waganga hufuatwa na wateja kaka, nyepesi nyepesi zinasema huyu mama yeye anafadhiri usafirishaji huo ambao umeitwa haramu
 
Ila huu utaratibu wa kumfunga mtu kabla hajapatikana na hatia ya kufungwa nao sio kabisa. Siwezi kumtetea huyo Zumaridi ila najiuliza tu, ni lazima awe huko ndani siku zote?! Naona loop holes za watu kutumia sheria zilizopo kufanyiziana.
Baadhi ya makosa hayana dhamana. Mf, utakatishaji fedha,mauaji,ugaidi,biashara ya madawa ya kulevya kama cocaina, man drax,u uzaji wa nyara za sirikali nk.
 
mungu kukosa dhamana.. inasikitisha
Miungu ipo ya aina nyingi. Huyu mungu wake yupo chini ya jua sio mbinguni tafsiri yake yupo hapahapa ardhini tunaishi nae kwahiyo usihofu. Mwagope mungu Alie umba hilo jua na sayari zote ni boss mkuu anae ishi mbinguni si chini ya jua.
 
Sawa, ila bado tuko jamii inayotoa nafasi kwa baadhi ya watu kutoa hukumu kabla hukumu ili kutesana tu.
Hajahukumiwa huyo yupo mahabusu. Ikiwa atapatikana na hatia ndipo hukumu itatolewa kama kufungwa au adhabu ya aina nyingine hasa mahakama utaona ipi inamfaa.
 
Mungu
Ni uonevu lakini,mbona waganga wa kienyeji waharibu Sana Maisha ya watu na hata ukienda kwenye majumba yao watu wamekusanyika bila kibali,wao mbona awakamatwi
Kwasababu wamesajiliwa na vibali vya kazi wanavyo. Japo serikali haitambui uchawi wa dini, inacho jua raia wana dini na wengine hawana dini. Ni hiyari yako kwenda hospital au kwenda kwa mizimu na Mila za makabila.
 
Ni upumbavu pili mtuhumiwa ana mali nyingi tena zisizohamishika kwann zisitumike kama dhamana.
Pili hili la hakimu husika kutokuwepo siku ya kesi husika, kwann asiwepo nani anabeba hii Dhamana ya mtu kupigwa tarehe tena hadi hakimu awepo.
Hakimu naye ni binadamu, ana mahitaji mengine nje ya kazi yake.
 
Hajahukumiwa huyo yupo mahabusu. Ikiwa atapatikana na hatia ndipo hukumu itatolewa kama kufungwa au adhabu ya aina nyingine hasa mahakama utaona ipi inamfaa.
Ninaelewa hajahukumiwa ila nimetumia lugha hiyo kwa makusudi kabisa kwasababu mifumo yetu wakati mwingine inawachulia watu kama tayari wamehukumiwa wakati bado hawajahukumiwa.
 
Ni upumbavu pili mtuhumiwa ana mali nyingi tena zisizohamishika kwann zisitumike kama dhamana.
Pili hili la hakimu husika kutokuwepo siku ya kesi husika, kwann asiwepo nani anabeba hii Dhamana ya mtu kupigwa tarehe tena hadi hakimu awepo.
Kuwa na nyumba ama utajiri sio kigezo cha kupata dhamana kama kosa lako linadondokea kwenye makosa yasio na dhamana.
Mbowe hakuwa na Mali?
Kosa analoshitakiwa nalo huyo wa kujiita mungu halina dhamana
 
Ila huu utaratibu wa kumfunga mtu kabla hajapatikana na hatia ya kufungwa nao sio kabisa. Siwezi kumtetea huyo Zumaridi ila najiuliza tu, ni lazima awe huko ndani siku zote?! Naona loop holes za watu kutumia sheria zilizopo kufanyiziana.
Hahaaa! Umezaliwa lini na kijiji gani ili tukujuze!
 
Ni upumbavu pili mtuhumiwa ana mali nyingi tena zisizohamishika kwann zisitumike kama dhamana.
Pili hili la hakimu husika kutokuwepo siku ya kesi husika, kwann asiwepo nani anabeba hii Dhamana ya mtu kupigwa tarehe tena hadi hakimu awepo.
Alikataa kudhaminiwa. wacha aone moto!
 
Ni upumbavu pili mtuhumiwa ana mali nyingi tena zisizohamishika kwann zisitumike kama dhamana.
Pili hili la hakimu husika kutokuwepo siku ya kesi husika, kwann asiwepo nani anabeba hii Dhamana ya mtu kupigwa tarehe tena hadi hakimu awepo.
Suala siyo ana mali nyingi, suala ni kuwa kesi ya kusafirosha binadamu haina dhamana kama umesoma na kuelewa huu uzi hapo juu.
 
Back
Top Bottom