‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

‘Mfalme Zumaridi’, wenzake wafikishwa Mahakamani, akwama kupata dhamana

Ila huu utaratibu wa kumfunga mtu kabla hajapatikana na hatia ya kufungwa nao sio kabisa. Siwezi kumtetea huyo Zumaridi ila najiuliza tu, ni lazima awe huko ndani siku zote?! Naona loop holes za watu kutumia sheria zilizopo kufanyiziana.
Zamunda mkorofi sana huyo
 
Zumaridi anateswa sababu ni mwanamke. Kuna wahubiri wangapi wanafanya mambo ya ajabu miaka na miaka na hawachukuliwi hatua? Vyama vya kutetea haki za wanawake viko wapi?
Viandikie barua hivyo vyama na kuvihoji wapi vilipo, hapa unapoteza muda tu.
 
Mfme HV nilwaza tu ikiwa huyu Ni bint wangu careen ndio awe anafanya shughuki hz za kukusanya watu na kusafirisha watu kinyume na sheria mban nitaona aibu Kama mzaz
Binti yako Careen nani, andika full name.
 
Nikikumbuka Ile video yao ya kizombi, nacheka sana .
 
Mkiwa mnacoment mkumbuke kua mfalme Zumaridi ni mungu wa chini ya jua na anasisitiza hilo mara kwa mara.
mwacheni sasa aonyeshe uungu wake kwenye mikono ya serikali.
 
Bifu gani, hebu twambie tujue wote.
Kuwadindia police kumkamata bila kufuata utaratibu,yaani kuvamiwa na bila wito,au notice ya kutakiwa kuripoti police.
Uthibisho wa bifu ni kipigo toka kwa police, unampiga vipi mwanamke tena kituoni hali ushamdhibiti, huu ni ukosefu wa weledi.
 
Kwa waganga kuna watu wengi tu tena wamekusanyika bila kibali wanapata tiba, kwann waganga wasikamatwe na wapewe kesi ya human trafficking? Maana mazingira yao na ya zumarid ni sawa.May be sababu ni wateja wao.
 
Suala siyo ana mali nyingi, suala ni kuwa kesi ya kusafirosha binadamu haina dhamana kama umesoma na kuelewa huu uzi hapo juu.
Degree za human trafficking pale hazipo.
Nani mashahidi wa kuthibitisha kuwa na watu nyumbani kwako ni human trafficking.
Mungu haitaji msaada wa mwanadamu kumpigania
 
Erick mutta rafiki yangu kazi unayo kumtetea huyu mungu wa duniani na team yake😂😂😂
 
Zumaridi anateswa sababu ni mwanamke. Kuna wahubiri wangapi wanafanya mambo ya ajabu miaka na miaka na hawachukuliwi hatua? Vyama vya kutetea haki za wanawake viko wapi?
Kuna yule alojirekodi kakalia chupa, sikuona wanaharakati uchwara wakikemea ila nadhani ingekua mwanaume ndio kairusha. Nchi ingetikisika
 
Human trafficking si wakawakamate waganga wa kienyeji watapata watu wengi tu wamejaa vilingeni, waache dabo standard.
 
badala ya kulifunga wanipege mimi tuu hili jimama niji gegedeee, linaonekana nilitamu kweli kweli……..
 
Zumaridi anateswa sababu ni mwanamke. Kuna wahubiri wangapi wanafanya mambo ya ajabu miaka na miaka na hawachukuliwi hatua? Vyama vya kutetea haki za wanawake viko wapi?
Zumaridi siyo mhubiri. Anajiita Mungu. Mwache apate ufahamu kidogo.
 
Back
Top Bottom