Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Zamunda mkorofi sana huyoIla huu utaratibu wa kumfunga mtu kabla hajapatikana na hatia ya kufungwa nao sio kabisa. Siwezi kumtetea huyo Zumaridi ila najiuliza tu, ni lazima awe huko ndani siku zote?! Naona loop holes za watu kutumia sheria zilizopo kufanyiziana.