Mfano siku ikibainika kula bila kumenya kunaongeza umri wa kuishi hadi miaka 200, tutajiona wajinga sana

Salaam. Mimi ninaona kwanza tujiulize, je hao walioishi miaka 600, hiyo miaka ilikuwa na siku 365 kama ilivyo kwa miaka yetu? Maana inaweza kuwa siyo. Ikawa pungufu.
Hilo nalo neno
 
Kwani normadic tribes za hapa Tanzania (barabaig, hadzabe, sandawe nk) wanaishi miaka mingapi?
Hawajuagi hata birthday hivyo wanaishigi tu lakini wengi hutoboa 100 kwa story za matukio
 
Reactions: SMU
nna babu ang an miaka 85 hua anakula vtu natural tuu, papai analila na mbegu zake zote
ana afya njema sana, kazi anayopiga kijana wa kisasa haez ad baiskel anaendesha kwenda kweny mbish zake
 
Kitabu kinachosema walioish miaka 600 ndo hiko hiko kinasema mwanadam miaka yake ya kuosh n 70 80 ko kiamin hata ule nazi na maganda bado uta range humo humo🤣🤣😅😇🤩🤗🤑😝
 
Kuna muethiopia mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yeye alikuwa boss akawa ananiagiza nikamnunulie mpunga ambao haujakobolewa. Yule bwana akawa anausaga mpunga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati.
Dadavua kidogo mkuu.
 
nna babu ang an miaka 85 hua anakula vtu natural tuu, papai analila na mbegu zake zote
ana afya njema sana, kazi anayopiga kijana wa kisasa haez ad baiskel anaendesha kwenda kweny mbish zake
Eeh
 
Kuna muethiopia mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yeye alikuwa boss akawa ananiagiza nikamnunulie mpunga ambao haujakobolewa. Yule bwana akawa anausaga mpunga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati.
Hiyo sio chapati kuna mkate wao wanaupenda ni katika main food yao unaitwa INJERA unakuwa mwembambaaa
 
Ishi hata miaka 1000 lkn iko siku yako utakufa .Huyu mtoa mada labda anaogopa kufa ni kifo haki kwa binadamu yyote hizo fikra zako nafikiri matajiri wengashazifanyia kazi zamani tu ,wao wanapenda sana dunia.
 
Huko ulaya ambako maisha yao yote ni vyakula vya viwandani wao kugonga 90 ni kawaida tu.

Juzi tu hapa kafa Prince Phillip akiwa kagonga 92.

Ugumu wa maisha ndio unachangia kufupisha maisha.
 
MWANZO 2:17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Uhalisia unaonekana hapo, maisha ya binadamu yalipungua umri wa kuishi baada ya tukio hilo.
 
Tena tunda lenyewe liwe nanasi.
 
Hakuna binaadamu alie wahi kuishi miaka sijui 400, sijui 300, huo ni uzushi wa kwenye hekaya za wa israil tu.
 
Kuna muethiopia mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yeye alikuwa boss akawa ananiagiza nikamnunulie mpunga ambao haujakobolewa. Yule bwana akawa anausaga mpunga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati.
Uligundua nini juu ya hayo maisha yake ya kula vijiti?

Maana naona hamna tofauti na kwenda kusaga vijiti harafu utengeneze mkate...[emoji4]
 
MWANZO 2:17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.

Uhalisia unaonekana hapo, maisha ya binadamu yalipungua umri wa kuishi baada ya tukio hilo.
Kwahiyo hadi sahivi tunaula huo mti au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…