- Thread starter
- #41
Hilo nalo nenoSalaam. Mimi ninaona kwanza tujiulize, je hao walioishi miaka 600, hiyo miaka ilikuwa na siku 365 kama ilivyo kwa miaka yetu? Maana inaweza kuwa siyo. Ikawa pungufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo nalo nenoSalaam. Mimi ninaona kwanza tujiulize, je hao walioishi miaka 600, hiyo miaka ilikuwa na siku 365 kama ilivyo kwa miaka yetu? Maana inaweza kuwa siyo. Ikawa pungufu.
Hawajuagi hata birthday hivyo wanaishigi tu lakini wengi hutoboa 100 kwa story za matukioKwani normadic tribes za hapa Tanzania (barabaig, hadzabe, sandawe nk) wanaishi miaka mingapi?
nna babu ang an miaka 85 hua anakula vtu natural tuu, papai analila na mbegu zake zoteNaomba kuchangia hii mada.
Binafsi ninakuwa nawaza sana mambo mbalimbali ikiwemo hili la matunda.
Akili yangu inaniambia avyakula vya kumenya kwi tumenye kwa sababu yale maganda ni kama nguo.
Ila vile vilivyokuwepo ndani ya tunda mfano mbegu ya kungwa kwa nini tuitupe ile mbegu wakati ipo ndani ya chungwa ?
Ni kweli mungu aweke sumu ama kitu kisicho na faida kwa afya ndani ya chungwa karibu karibu hivyo kweli ?
Mbegu ya chungwa ina faida zake ninavyodhani mimi kwa sababu haiwezekani iwekwe karibu na chungwa.
Mimi ninachowaza ni kuwa kila kinachopatikana kwenye tunda ama chakula chochote baada ya kumenya basi hiko ni salama na kina faida ambazo zimejificha katika mwili
Achilia mbali faida ya kuwa ukiipanda inazaa.
Maaana yake lile mbegu la chungwa ndio chungwa lenyewe ukila umekula chungwa la baadae.
Kitabu kinachosema walioish miaka 600 ndo hiko hiko kinasema mwanadam miaka yake ya kuosh n 70 80 ko kiamin hata ule nazi na maganda bado uta range humo humo🤣🤣😅😇🤩🤗🤑😝Hivi kwa mfano;
Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje!
Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400!
Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde!
Mi nazani siri hii haiko mbali sana, lakini kwa vile imefichwa kwavile utafiti wake unahitaji miaka mingi sana thus hautafutwi.
Mimi Nina wazo! Taasisi ya utafiti zinaonaje kupeleka mswada wa sheria ya utafiti!
Ili iruhusu kizazi cha majaribio, wachukue mwanaume na mwanamke watiane mimba then mtoto akalelewe porini kama mnyama! (Watu wa kujitolea mbegu hawakosi!
Ili wachunguze mwenendo wa ukuaji wa huyu binadamu pori anaekula matunda bila kisu, na kula mizizi au mihogo pasipo kumenya like ganda la inje! Wachukue sampo kama mia waangalie wataishi miaka mingapi!
Kuna uwezekano mkubwa chanzo kikubwa cha kuishi miaka mingi ikawa ni kula bila kumenya! Na kusafiri kwa miguu pasipo kupoteza mda kusoma elimu dunia!
Nimewaza hivyo kwasababu watu wa zamani siyo kwamba walikuwa wema sana kuliko sisi! Kama umalaya walifanya, walioa wake wengi lakini bado waliishi miaka mingi!
Hivyo yamkini chanzo cha kufupisha umri ni hii sayansi tuliojinasibu kuwa ndo afya! Kupanda ndege,nagari, vyakula vya kukoboa,lost, tissue, miswaki yenye sawa, maji ya chupa n.k
Ni wazo tu lakini naomba nisishambuliwe!
Dadavua kidogo mkuu.Kuna muethiopia mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yeye alikuwa boss akawa ananiagiza nikamnunulie mpunga ambao haujakobolewa. Yule bwana akawa anausaga mpunga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati.
Eehnna babu ang an miaka 85 hua anakula vtu natural tuu, papai analila na mbegu zake zote
ana afya njema sana, kazi anayopiga kijana wa kisasa haez ad baiskel anaendesha kwenda kweny mbish zake
Madafu ni majiSasa sisi wapenda Madafu tutaweza kweli kuyala bila kuyamenya?
Hiyo sio chapati kuna mkate wao wanaupenda ni katika main food yao unaitwa INJERA unakuwa mwembambaaaKuna muethiopia mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yeye alikuwa boss akawa ananiagiza nikamnunulie mpunga ambao haujakobolewa. Yule bwana akawa anausaga mpunga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati.
Mpunga ambao haujakobolewa jamaa alikuwa anausafisha na kuusaga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati(mkate mwembamba)Dadavua kidogo mkuu.
Sawa.Hiyo sio chapati kuna mkate wao wanaupenda ni katika main food yao unaitwa INJERA unakuwa mwembambaaa
HahahMpunga ambao haujakobolewa jamaa alikuwa anausafisha na kuusaga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati(mkate mwembamba)
Huko ulaya ambako maisha yao yote ni vyakula vya viwandani wao kugonga 90 ni kawaida tu.Mfumo wa maisha ya binadamu umebadilika sana hasa ulaji, yaani 95% ya vyakula tunavyokula ni kemikali tupu si nyama, si matunda, si mboga za majani (Fertilizers, Pesticides, insecticides, fungicides).
Kuna madawa ya kuhifadhia vyakula vikae muda mrefu pasipo kuharibika. Kemikali za kuivisha ndizi, siku moja tu ndizi zinaiva hakuna haja ya kuzivundika muda mrefu.
Ukija kwenye masuala ya uzazi ndo basi tena(Contraceptives)
Ukirudi kwenye urembo unakutana na vipodozi vyenye viambata vya kemikali zisizofaa kwa matumizi ya ngozi.
Yaani tafrani tupu.
Hata ukijaribu kula vyakula asilia bado mazingira ya ukuaji wake sio rafiki sana(kwa mijini) nusu asilia. Lakini ni kheri shari nusu kuliko shari kamili.
Tena tunda lenyewe liwe nanasi.Hivi kwa mfano;
Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje!
Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400!
Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde!
Mi nazani siri hii haiko mbali sana, lakini kwa vile imefichwa kwavile utafiti wake unahitaji miaka mingi sana thus hautafutwi.
Mimi Nina wazo! Taasisi ya utafiti zinaonaje kupeleka mswada wa sheria ya utafiti!
Ili iruhusu kizazi cha majaribio, wachukue mwanaume na mwanamke watiane mimba then mtoto akalelewe porini kama mnyama! (Watu wa kujitolea mbegu hawakosi!
Ili wachunguze mwenendo wa ukuaji wa huyu binadamu pori anaekula matunda bila kisu, na kula mizizi au mihogo pasipo kumenya like ganda la inje! Wachukue sampo kama mia waangalie wataishi miaka mingapi!
Kuna uwezekano mkubwa chanzo kikubwa cha kuishi miaka mingi ikawa ni kula bila kumenya! Na kusafiri kwa miguu pasipo kupoteza mda kusoma elimu dunia!
Nimewaza hivyo kwasababu watu wa zamani siyo kwamba walikuwa wema sana kuliko sisi! Kama umalaya walifanya, walioa wake wengi lakini bado waliishi miaka mingi!
Hivyo yamkini chanzo cha kufupisha umri ni hii sayansi tuliojinasibu kuwa ndo afya! Kupanda ndege,nagari, vyakula vya kukoboa,lost, tissue, miswaki yenye sawa, maji ya chupa n.k
Ni wazo tu lakini naomba nisishambuliwe!
Hakuna binaadamu alie wahi kuishi miaka sijui 400, sijui 300, huo ni uzushi wa kwenye hekaya za wa israil tu.Hivi kwa mfano;

Uligundua nini juu ya hayo maisha yake ya kula vijiti?Kuna muethiopia mmoja nilikuwa nafanya nae kazi yeye alikuwa boss akawa ananiagiza nikamnunulie mpunga ambao haujakobolewa. Yule bwana akawa anausaga mpunga na maganda yake halafu unga anatengeneza chapati.
Kwahiyo hadi sahivi tunaula huo mti auMWANZO 2:17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Uhalisia unaonekana hapo, maisha ya binadamu yalipungua umri wa kuishi baada ya tukio hilo.
Mkuu kwa ugumu huu wa maisha unapata wapi muda wa kutaka kuishi muda mrefu? Au ww ni mtoto wa fisadi nini?Duh walioa mapema