Mfanyabiashara ahukumiwa kunyongwa Dar, alimuua mdai wake aliyempa hela amuagizie Fuso

Pesa, pesa, pesa

Si mchezo watu wanatoana uhai kisa pesa.
Lakini pia tusipende sana kuwaamini watu kwa kiasi kikubwa, pesa za kununua fuso unampa mtu kirahisi.
Hata polisi kule mtwara sijui ilikuwa lindi ile, waliua mfanyabiashara wa madini kwa kuwadai chake (milioni 30)
 
Uria hakuwahi dai mke, na alikuwa hajui chochote maskini, hadi akabeba hati ya kifo chake kwa kamanda wa vita vitani.
 
Hata kama ni hivyo ndio utoe uhai wa mtu ? Hivi tunajua hiyo pesa marehemu aliipata vipi ? Yaani milioni 30 unampa mtu kiroho safi akutafutie gari kisha anadai haki yake unamzungusha kwanini usiwe mkali ?
 
Sheria ya hukumu ya kifo bado nchini issue ni mkuu wa nchi kutia saini hati za waliohukumiwa kifo
 
Mie mdau sana wa detectives stories yanj wanakwambia hakuna mauaji yanayokua perfect inatokea mara chache sana lazma kuna pahala muuaji akosee...


Kama huyu jamaa shimo lake hakufukia kwa kiwango pakaja kumuumbua
Tatizo linaanzia kwenye haraka ya kutekeleza wazo la mauaji. Pia kiwewe cha kujulikana kuwa umeua kinapelekea kufanya maamuzi yasiyosahihi. Mfano wazo la jamaa kuhama halikuwa sahihi. Yeye alihisi amelikimbia tatizo kumbe ndio amezakisha tatizo. N.b Uuaji ni kazi ngumu mno na inahitaji uzoefu wa kutosha na mahesabu makali mno. Unatakiwa kuanalyse possibilities nyingi sana
 
Binadamu ni mmojawapo wa kiumbe katili sana na tofauti na wanyama wengine ambao huua kwa ajili ya chakula au kujilinda binadamu wanaeweza kuua bila hizo sababu zote.
Mkuu hapo muuaji alikuwa anajilinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…