Ingelikua wanadamu tuna ruhusiwa kuhukumu kama Mungu, huyu mwamba alitakiwa akatwe pumb~ hadharani akiwa uchi, Yaani anyofolewe kiungo kimoja kimoja kabla ya kufa
Iwe fundisho kwa wengine wenye mtindo kama huo, Ime niuma sana hii... watu wana pambana kutafuta fedha ili waweze kukidhi mahitaji yao na familia zao na kuweza kusaidia wengine wewe una dhulumu watu na kuua pia daaah ...! [emoji24]
Hii ilitakiwa iwe hata kwa viongozi waliopo madarakani wanao enda kinyume na katiba, na protocol zote za uongozi hii ilitakiwa iwe adhabu yao[emoji856]
Wana wagharimu watu wengi sana kwa ujinga wao,mapenzi,kunufaisha akina fulani ni umwinyi na umiki huo,, Yaani mtu mmoja ana sababisha maumivu kwa maelfu ya watu au mamilioni so sad [emoji17] na hafanywi chochote huku ni kutukuza watu. Anaye paswa kutukuzwa na kuhimidiwa ni Mungu pekee.