Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.

Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio kwamba wanahitaji bidhaa anayouza.

Mfano mzuri tazama makonda wa daladala muda ambao hakuna abiria wengi wanaita wateja hadi huruma ila ufike muda wa jioni sasa wanaanza kudengua kama watoto wa kike yani wanahisi kama abiria wanawashobokea wao vile.

Back 2 topic, jezi mpya ya Yanga ilivyo toka, Yanga wenyewe walikuwa wanauza 50 kwa jezi na walikuwa wanauza jangwani tu.

Walanguzi kama kawaida wakawa wazinunua then wanauza kuanzia 70 hadi laki moja hasa ile ya rangi ya dhahabu.

Kitaani kwetu kuna jamaa ana duka alikuwa anauza jezi ya rangi ya dhahabu laki moja . Hizi nyingine anauza mwisho 70 hapunguzi.

Hiyo ya rangi ya dhahabu watu wameenda mpaka na tisini eti hataki anataka laki moja.

Haya sasa mechi ya jana Yanga kapigwa kifala Raia wamekasirika jezi wamechana na kuchoma moto na sidhani kama watakuwa wanaenda tena uwanjani.

Leo jamaa wa duka kashusha anauza elfu hamsini na 5 jezi na watu hawanunui wala nini wanasema hata bure hawawezi kuvaa jezi..

Wafanyabiashara muwe mnasoma alama za nyakati.
Yanga hawana guts za kuvumilia maumivu
 
Hatari kweli
 
Hakuna namna
Nimegundua wapenzi wa mpira wa Tanzania hawajui mpira ili ni washabiki tena wa timu siyo mpira. Ndo mana yule kocha wa yanga Lucky alishawahi kuwafananisha siyo yanga hata wengine na manyani.
 
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.

Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio kwamba wanahitaji bidhaa anayouza.

Mfano mzuri tazama makonda wa daladala muda ambao hakuna abiria wengi wanaita wateja hadi huruma ila ufike muda wa jioni sasa wanaanza kudengua kama watoto wa kike yani wanahisi kama abiria wanawashobokea wao vile.

Back 2 topic, jezi mpya ya Yanga ilivyo toka, Yanga wenyewe walikuwa wanauza 50 kwa jezi na walikuwa wanauza jangwani tu.

Walanguzi kama kawaida wakawa wazinunua then wanauza kuanzia 70 hadi laki moja hasa ile ya rangi ya dhahabu.

Kitaani kwetu kuna jamaa ana duka alikuwa anauza jezi ya rangi ya dhahabu laki moja . Hizi nyingine anauza mwisho 70 hapunguzi.

Hiyo ya rangi ya dhahabu watu wameenda mpaka na tisini eti hataki anataka laki moja.

Haya sasa mechi ya jana Yanga kapigwa kifala Raia wamekasirika jezi wamechana na kuchoma moto na sidhani kama watakuwa wanaenda tena uwanjani.

Leo jamaa wa duka kashusha anauza elfu hamsini na 5 jezi na watu hawanunui wala nini wanasema hata bure hawawezi kuvaa jezi..

Wafanyabiashara muwe mnasoma alama za nyakati.
Akili Hana hajui mtaji wake ni pale timu inapofanya vzr sasa avae mwnyw au afanye matambaa ya kudekia😄😄😄😄
 
Hayo .atambala ya mchina mnanunua kabisa laki,hayo matambara krimplin.
Aisee wajinga wengi sana humu duniani
Kabisa. Wakati hamisa kuvaa jezi hadi alipwe milioni hamsini na ni form four leaver tu wa Chanika Secondary.

Huku Graduate unatoa Laki kununua jezi inayo tangazo biashara ya mtu.

Yani unampa mtu hela kumtangazia biashara yake and still timu yako inacheza kama imerogwa vile
 
Back
Top Bottom