Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekula kwake..Kwasabababu aliona demand kubwa watu walikuwa wanaigombania sana hiyo jezi ya rangi ya dhahabu
Am sorryTaratibu bi dada...kwani kuna ubaya akini tag?
Sawa....Simba hamna lolote lile ngoja tuone nani atabeba kombe
Mwaga sasa ufurahi kama kweli utafurahia...hahahaaHapana sitanii dada angu ntaanza kukumwagia very soon 😇😇🙂
KwA maelezo yako wewe unahusika na kufungwa kwa Yanga Na huwa unamloga muuza Duka sijajua tatizo uenda anakuchukulia shemeji kwa maana unajua hadi bei zote za jezi alivyokuwa anakataa kuuza na sasa aliposhusha Bei mpaka maneno ya wateja wake uliiroga Yanga ifungwe ili jamaa mzigo umdodee si ndio haya sasa Wananchiiiiiiiiiiiiiii.Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio kwamba wanahitaji bidhaa anayouza.
Mfano mzuri tazama makonda wa daladala muda ambao hakuna abiria wengi wanaita wateja hadi huruma ila ufike muda wa jioni sasa wanaanza kudengua kama watoto wa kike yani wanahisi kama abiria wanawashobokea wao vile.
Back 2 topic, jezi mpya ya Yanga ilivyo toka, Yanga wenyewe walikuwa wanauza 50 kwa jezi na walikuwa wanauza jangwani tu.
Walanguzi kama kawaida wakawa wazinunua then wanauza kuanzia 70 hadi laki moja hasa ile ya rangi ya dhahabu.
Kitaani kwetu kuna jamaa ana duka alikuwa anauza jezi ya rangi ya dhahabu laki moja . Hizi nyingine anauza mwisho 70 hapunguzi.
Hiyo ya rangi ya dhahabu watu wameenda mpaka na tisini eti hataki anataka laki moja.
Haya sasa mechi ya jana Yanga kapigwa kifala Raia wamekasirika jezi wamechana na kuchoma moto na sidhani kama watakuwa wanaenda tena uwanjani.
Leo jamaa wa duka kashusha anauza elfu hamsini na 5 jezi na watu hawanunui wala nini wanasema hata bure hawawezi kuvaa jezi..
Wafanyabiashara muwe mnasoma alama za nyakati.
,KwA maelezo yako wewe unahusika na kufungwa kwa Yanga Na huwa unamloga muuza Duka sijajua tatizo uenda anakuchukulia shemeji kwa maana unajua hadi bei zote za jezi alivyokuwa anakataa kuuza na sasa aliposhusha Bei mpaka maneno ya wateja wake uliiroga Yanga ifungwe ili jamaa mzigo umdodee si ndio haya sasa Wananchiiiiiiiiiiiiiii.
Lakini mkuu,mbona kipindi cha bakuli na bukubuku walivumiliana na wakawa na solidarity ya hali ya juu kwa miaka 4 mtawalia?Yanga hawana guts za kuvumilia maumivu