Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

Yanga hawana guts za kuvumilia maumivu
 
Hatari kweli
 
Sijakuuliza
Wameshenetwa tena. Amkeni amkeni wamefungwa tena๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nasikiliza nyimbo ya Yanga Tamu (Marioo), hao makolo hawatuwezi kwanini sisi ndiyo utopolo fc ๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽถ, ikiisha naunga na Yanga bingwa unaifungaje๐ŸŽง๐ŸŽค๐ŸŽค๐ŸŽบ๐ŸŽผ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Acha shobo
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ni shobokee Yanga๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Yanga bingwa unamfungaje, unamfungaje๐ŸŽค
Wakolovyenu vyenu๐ŸŽค๐ŸŽผ๐ŸŽบ๐Ÿ˜‚
TP Mazembe naye anapita kwenye mshono mpaka mashabiki wa Yanga wawe vichaa waongee peke yao njiani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hakuna namna
Nimegundua wapenzi wa mpira wa Tanzania hawajui mpira ili ni washabiki tena wa timu siyo mpira. Ndo mana yule kocha wa yanga Lucky alishawahi kuwafananisha siyo yanga hata wengine na manyani.
 
Akili Hana hajui mtaji wake ni pale timu inapofanya vzr sasa avae mwnyw au afanye matambaa ya kudekia๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Akili Hana hajui mtaji wake ni pale timu inapofanya vzr sasa avae mwnyw au afanye matambaa ya kudekia๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Yes kabisa now hakuna mwanayanga atavaa jezi ya Yanga
 
Hayo .atambala ya mchina mnanunua kabisa laki,hayo matambara krimplin.
Aisee wajinga wengi sana humu duniani
Kabisa. Wakati hamisa kuvaa jezi hadi alipwe milioni hamsini na ni form four leaver tu wa Chanika Secondary.

Huku Graduate unatoa Laki kununua jezi inayo tangazo biashara ya mtu.

Yani unampa mtu hela kumtangazia biashara yake and still timu yako inacheza kama imerogwa vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ