Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

KwA maelezo yako wewe unahusika na kufungwa kwa Yanga Na huwa unamloga muuza Duka sijajua tatizo uenda anakuchukulia shemeji kwa maana unajua hadi bei zote za jezi alivyokuwa anakataa kuuza na sasa aliposhusha Bei mpaka maneno ya wateja wake uliiroga Yanga ifungwe ili jamaa mzigo umdodee si ndio haya sasa Wananchiiiiiiiiiiiiiii.
 
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…