Mkuu hupo minjingu ama arusha? Utahudhuria msiba?Hapana wa Elerai Constructions, Northern Engineering ni Lema.
Warithi kama wale mrema wa impala?Kwani warithi sio walipa kodi
Nimekuja Dar onetime ,next week nageuza minjingu kwenda kutokomeza pori. π π π π π.Mkuu hupo minjingu ama arusha? Utahudhuria msiba?
Mmeliza vichaka minjingu kwa ajili ya mkaa
Wow uko vizuri ila vipi na mradi/pesa je mnafanana ?au wewe ni uzuri tuπ€Very handsome like me
How ?Kwa wasio mfahamu huyu na rafiki yake mkuu Samson Laizer waliwahi kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya ngumi uzito wa heavy weight
RIP Andrew
For my age am good somehow in economy.Wow uko vizuri ila vipi na mradi/pesa je mnafanana ?au wewe ni uzuri tuπ€
Uzuri wa pesa sio kama kalio au sura ambapo kila mtu anayo.Wow uko vizuri ila vipi na mradi/pesa je mnafanana ?au wewe ni uzuri tuπ€
Taratibu ni zile zile BARAKOA,"SANTAIZA",Maji tiririka na sabuni,Social distancing ,avoid mikusanyiko etcMbona hawasemi ukweli kuwa amejinyonga? Mzee Molel amejinyonga, binti yake Happy alikua mchepuko wangu
Ooh basi uko vizuri mkuu at 31 tayari una nyumba tena ni nyumbas si mchezo! Big up wengine tunakaribia umri huo ila nikiangalia nnachomiliki ni Laptop tuππFor my age am good somehow in economy.
Miaka 31 nina nyumba 2 Dar es salaam , gari moja, pikipiki moja na mke pamoja na mtoto1 na mwingine anakuja mwezi June.
Binafsi vinanitosha, wala sina tamaa ya mimali mingi nianze kulala na bastola kitandani.
Kwa mtoto niliyekua kwa kulalia mikeka chini kwa hatua hii sio mbaya kwangu.
Hiko ni kipaumbele chako. Mimi naipenda sana laptop ila pesa ya kununua laptop sina kwasasa. Labda hizi used ambazo kwa hakika naziogopa.Ooh basi uko vizuri mkuu at 31 tayari una nyumba tena ni nyumbas si mchezo! Big up wengine tunakaribia umri huo ila nikiangalia nnachomiliki ni Laptop tuππ
Eeenh Heee.Ooh basi uko vizuri mkuu at 31 tayari una nyumba tena ni nyumbas si mchezo! Big up wengine tunakaribia umri huo ila nikiangalia nnachomiliki ni Laptop tuππ
Handsome from Sandali kwa late TarimoVery handsome like me
HahahahahaHandsome awe na hela anapendezea...sasa uwe handsome uwe kapuku[emoji57]
Wewe umetepetea upande gani?Kwahyo sisi tulotepeta tuko njia moja...sidhan bwana
AiseeeLOOoo, mzee na 'Bling Bling' zake mkononi?
Huyu kweli pesa alikuwa nayo! Hiyo gold chain pekee hapo ni mshahara mzima wa mwaka wa akina Yehood wanaoishi hapa JF wakipotosha kila hoja zinazohusu mungu wao.
Pole kwa wafiwa.
Walikuwa mabondia au wafadhili?Kwa wasio mfahamu huyu na rafiki yake mkuu Samson Laizer waliwahi kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya ngumi uzito wa heavy weight
RIP Andrew