TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

Kwa sasa mwendo wa kuvusha ni boda, bidhaa kenya za kuvusha ni nyingi sana maana bei iko chini, kuna kwenda kuchukua na kupeleka, unajua hela ya kenya iko juu zaidi ya tz, hivyo ujipeleka mzigo unarudi na faida kubwa. Kuna wanaopeleka hata piwa (gongo) kenya
Maisha ya sehemu za boda ndizo zilivyo

Ova
 
Pale kwake Tegeta darajani mbele walikuwa wanauza mbao sasa hivi wameondoa mbao kuna kanisa linaendelea. Shule yake jirani na Tegeta darajani ilifungiwa kitambo majengo yako chini ya kiwango. Cornelius ilimshinda kuendesha amekodisha watu wanaiendesha kwa kusuasua
Aliikuwa ni Mmiliki wa Majengo ya Kanisa na Shule Kama una ujuzi wa kuendesha kanisa anakukodisha. Waumini wakiwa wengi ndio utamjua vizuri
 
Back
Top Bottom