Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Nimemsikiliza mwenyekiti wao kupitia Wasafi Media sio muda mrefu. Kwa maneno (yeye mwenyewe) anadai Kariakoo ina wafanyabiashara waliosajiliwa karibu 40,000 na wasio sajiwa ni kama elfu 15,000.
Makusanyo ya kodi ya TRA kwa mwezi Kariakoo pamoja na biashara zote hizo elfu arobaini kariakoo ni kiasi cha karibu na tsh 14 billion. Maana yake ni kundi la watu wenye mchango mdogo sana kwenye budget ya Tanzania.
Sasa, it’s not rocket kuelewa kama hizo ndio actual data ina maana ukwepaji wa kodi unaondelea pale sio wa kitoto.
Halafu hao wafanyabiashara ndio wanaishinikiza serikali kwa madai ya kuonewa.
Mambo mengine yanawezekana Tanzania ya Samia tu.