Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Natamani sana Rais wetu Mama Samia Suluhu, angemchukulia hatua waziri wa Fedha.

Mama sema kitu,f unguka mama, wanakukaba kwa makusudi.
 
This was the best speech of mfanyabiashara wa kariakoo,

"... Kwa kuwa umesema tufunguke, niseme nchi hii hadi Polisi ni wezi mno, hakuna wakati mgumu kufanya biashara kama wakati huu, tunaiwezesha nchi lakini wanatukatisha tamaa"

My question is...

Upi ulikuwa wakati mzuri wa kufanya biashara?.
 
Serikali iingie ubia na kampuni binafsi kutoka nje ili iisaidie kukusanya mapato pale bandarini. Hii kampuni ndio itashughulikia masuala yote ya ulinzi kuhakikisha hakuna kontena litakalotoka pasi na kulipiwa kodi.

Hakuna mfanyabiashara/mtu anayependa kulipa kodi kwa hiyari ndio maana hata watumishi wa serikali hukatwa kodi juu kwa juu kabla ya kupokea mishahara yao
 
Kontena sio kibiri kwamba utaingiza kontena bila kulipia kodi hilo halipo , kinacholalamikiwa ni hayo makodi kuanzia manispaa
 
Mkuu sio kila mfanyabiashara ana malalamiko. Usipende kufanya ama kuingia kwenye ujinga ama matatizo ya akili yanayoitwa generalization syndrome.
Bila shaka utakua umenielewa sema unakaza shingo tu....wafanyabiashara wakubwa ndiyo mgongongo wa wafanyabiashara wadogo. Malalamiko yamekuwepo bila kutafutiwa suluhu ata la muda. Tunajua ukweli nikua malalamiko yote ayawezi kua sawa au sahihi lakini imekua too much sasa...Waziri wa Fedha na Uchumi kwa kiasi kikubwa amekua zuio la kutatua hayo malalamiko ya wafanyabiashara ila uishia kutoa majibu ya kejeli.IMETOSHA SASA
 
Natamani sana Rais wetu Mama Samia Suluhu, angemchukulia hatua waziri wa Fedha.

Mama sema kitu,f unguka mama, wanakukaba kwa makusudi.

Seems like huyo Waziri bado ni mtoto pendwa.

-Kaveli-
 
Kontena sio kibiri kwamba utaingiza kontena bila kulipia kodi hilo halipo , kinacholalamikiwa ni hayo makodi kuanzia manispaa

Na wanazidi kuongeza makodi kwa wafanyabishara.

-Kaveli-
 
Huyu si ndo vilevile aliyependekeza bungeni mwaka Jana kuanzisha 'matozo' kwenye simu.... kaazi kwelikweli....

Wanachowaza ni kuongeza makodi tu kwa mwananchi ili waendelee kutanua vyema wao na familia zao.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom