UKweli ni kwamba tatizo kodi ni nyingi, ni za kijamaa ambapo kundi dogo huishi kwa jasho la wenzao. Hasa wanasiasa.
Kodi mufilisi zinatoa mwanya mtu akwepe kwa kushirikiana na maafsa.
Akitaka kukwepa peke yake ndo hiyo vutana na task force.
Adui mkubwa wa wafanyabiashara ni serkali kuweka sheria za kodi mkomoo.
MAtokeo yake wanasiasa wafanyabiashara na genge lao la kukwepa kodi kupitia silent ocean wanashindwa kuuza bidhaa iliyokwepa kodi kwa uhuru. Hawatoi risit kubalance mahesab ya importation. Wanaleta tafran.
Nchi hii bila kuwatenga wanasiasa walaf na biashara tutazid kupoteza kodi nyingi