Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Wanalalamikia Kodi mpya ya store tu....labda hiyo Kodi ya store itazame...



Kama Wako honestly Kwanini wakatae isifanye kazi?

In the first place inaonesha udanganyifu.

Wengi tu wana-flames ndogo kariakoo lakini ma-godowns yapo Chang’ombe , tabata, Vingunguti n.k. Huko wanapiga mauzo ya mamilioni na zaidi ,
Kama tunataka kuwa wazalendo tushirikiane kusimamia ukweli.
 
Wafanyabiashara wetu hawataki kabisa kutoa risiti, ukkidai risiti wanageuka kuwa wekundu, na wakitoa risiti basi wanaandika bei ndogo kuliko uhalisia. Kama hawataki wakae nyumbani walee watoto wao.



They are not serious at all.

Imagine wanapinga hadi enforcement za kuhakikisha EFD machines zinatumika ipasavyo kwa mujibu wa sheria.

Kukataa kutoa receipts za mashine maana yake wanataka kufanya udanganyifu wa mauzo yao.?
 
Ni mara ya kwanza nashuhudia mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, soko letu pendwa (baadhi). Vilevile mkutano kama huu wakitema cheche mbele ya Serikali. Hakika, kodi ni msingi wa maendeleo.
Roving Journalist shukran kwa thread na link
Ni kweli Sis! Huu mkutano ulete positive impact ikienda sambamba na sisi sote kulipa kodi kwa uaminifu.
 
Kwanini wanawake wa kitanzania ukimuwekea vikwazo kwenye anachofanya swali lake ni unanizuia kufanya hiki unataka nikajiuze/nikadange? Hivi ni kweli wana option chache kiasi hiki kwenye masuala ya kujitafutia kipato? Refer mama muuza vipodozi alieomba namba ya waziri mkuu. Yaani mtu umefikia level ya kuuza vipodozi ngazi ya kimataifa halafu TRA wakizingue ubaki na option ya kudanga? Hii mentality haizisaliti harakati zinazofanywa kumuinua mwanamke?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilitamani ningeona live hizi mambo
Mie nimejionea vituko mubashara mbele ya mkubwa namba tatu wa nchi....🤣🤣🤣 kwakweli nimecheka sana...😜😜😜
Lakini nimeelewa why wafanya biashara walikua wanalalamikia kodi ya mizigo ya store.
 
Ni jambo jema sana tena mno!

Nafuatilia mubashara TBC kiukweli angekuwepo Shujaa Magufuli kwa haya maelezo ya Wafanyabiashara Waziri angeliwa kichwa fasta!
Ndo utashangaa sasa na hapo mama hatamgusa ashantu .kwa kuwa ni mzanziba mwenzake
 
Back
Top Bottom