sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
KitulizeMuongeaji anasema au wakadange ?sasa hawa ndo waongeaji wao??
Utaondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KitulizeMuongeaji anasema au wakadange ?sasa hawa ndo waongeaji wao??
Hao wafanyabiashara wanacheza "mbago" za kisiasa....Mh.Mwigulu anaingiaje katika madai yao ?!!!Wafanyabiashara wamewachana live Waziri wa Fedha Dr Mwigulu na Waziri wa Biashara Dr Kijaji kwamba udaktari wao hauna faida yoyote kwa Wafanyabiashara
Wamedai Mawaziri hao siyo Wasikivu na wanawadharau Wabunge wao
Source: Channel ten
Mwigulu ni kama kenge wananchi tunalalamika kua yeye ndio tatizo lakn yanaingilia uku yanatokea uku hashaurikiUmetumwa na Boniface Jacob?!!!
Mwigulu anaingiaje hapa?!!!
True,Vunja bei tangu mwanzo anaonekana ni mtu aliepangwa, anaanza kwa kusema mkutano ukiisha wakafungue maduka pili anawalalamikia wafanyabiashara kuwa hawana elimu ya kodi hayo mambo ma2 peke yake yanaonesha wazi sio mtu wa kumtilia maanani.
Wewe bwana umeamua tu kutokuwa msikivu ila mambo mengi sana ya msingi yamesemwa leo na hao unaowachukulia poa.
Fred vunja Bei yule Jamaa kaongea point Sana Hadi Tbc wamekata matangazo ,kweli pesa na akili ni kitu kimoja.Nimegundua wasemaji asilimia kubwa ya wasemaji ni watu wa system...hakutakuwa na tiba ya tatizo hili
Vunjabei ni msomi ngazi ya master degree!Hapa TANZANIA nimeani wafanyabiashara ndo watu smart upstairs yaani Fred vunja Bei kaongea point mpaka nimeshangaa madini tupu.
Kuliko wabunge 100 wa CCM waliopo bungeni.Wafanyakazi wa serikali wao ni wasomi,wanaikalia sheria mwezi au mwaka halafu wanafikiria mfanyabiashara yeye anaelewa kama wao na ndio maana baadaye inakuwa vurugu kwa kuwa mpitisha sheria,anayehakikisha sheria inatekelezwa na mfanyabiashara ambaye wala haelewi chochote na hajaelemishwa kuhusu hiyo sheria.TRA rushwa tuHapa TANZANIA nimeani wafanyabiashara ndo watu smart upstairs yaani Fred vunja Bei kaongea point mpaka nimeshangaa madini tupu.
True,
Ni Mmoja ya watu wenye nguvu kariakoo na ni Godfather Kwa vijana wengi wapambanaji......
Anakuja jamaa mmoja anae Kaa Kwa shemeji Ake...anagombea limote na wapwa zake....Alafu anasema Fred vunja bei hajaongea chochote....😊😊😊
mkuu tusaidie kuwaeleweshaa hao jamaa..
Acha uongo.....Kisare ,Marley , Said ,Mkoza Ally ni wafanyabiashara....Naona wafanyabiashara wa usalama wa taifa wakiwawakilisha wafanyabiashara halisi wa kariakoo
Yaani watu wamepangwa kabisa waje kuelezea kero za wafanyabiashara vile iwapendezavyo viongozi wa serikali.
Nimecheka kama mazuri 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe sio mfanyabiashara acha uongo mwendawazimu mkubwa ww
Kabisa...sheria zinamapungufu Sana....Kwani TRA wanafanya kazi nje ya sheria hizi zilizopitishwa na Bunge letu.
Kulikuwa na haja ya kuzifanyia maboresho Sheria zetu zinazowapa TRA mamlaka makubwa ikiwemo kubambikia Wateja Kodi.
Ulitaka asemaje? Si una uhuru wa kufunga au kufungua biashara?sio porojo za wapumbavu, kama ulimsikiliza alichokiongea bungeni jumatatu ungenielewa.
Usivyo kua na akili we hujui wewe kama mlaji wa mwisho ndio unahasaraWafanyabishara walipe kodi waache uswahili.
Wafanyabishara hawana hoja. Walipe kodi.