Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Wafanyabiashara wamewachana live Waziri wa Fedha Dr Mwigulu na Waziri wa Biashara Dr Kijaji kwamba udaktari wao hauna faida yoyote kwa Wafanyabiashara

Wamedai Mawaziri hao siyo Wasikivu na wanawadharau Wabunge wao

Source: Channel ten
Hao wafanyabiashara wanacheza "mbago" za kisiasa....Mh.Mwigulu anaingiaje katika madai yao ?!!!

Kwamba madai yao hayo yameanza kipindi mh.Nchemba akiwa waziri wa fedha ?!!![emoji15][emoji15]
 
True,
Ni Mmoja ya watu wenye nguvu kariakoo na ni Godfather Kwa vijana wengi wapambanaji......

Anakuja jamaa mmoja anae Kaa Kwa shemeji Ake...anagombea limote na wapwa zake....Alafu anasema Fred vunja bei hajaongea chochote....😊😊😊

mkuu tusaidie kuwaeleweshaa hao jamaa..
 
Hapa TANZANIA nimeani wafanyabiashara ndo watu smart upstairs yaani Fred vunja Bei kaongea point mpaka nimeshangaa madini tupu.
Kuliko wabunge 100 wa CCM waliopo bungeni.Wafanyakazi wa serikali wao ni wasomi,wanaikalia sheria mwezi au mwaka halafu wanafikiria mfanyabiashara yeye anaelewa kama wao na ndio maana baadaye inakuwa vurugu kwa kuwa mpitisha sheria,anayehakikisha sheria inatekelezwa na mfanyabiashara ambaye wala haelewi chochote na hajaelemishwa kuhusu hiyo sheria.TRA rushwa tu
 
Vunja Bei kaongea kwa kutumia akili na sio hisia
 
Naona wafanyabiashara wa usalama wa taifa wakiwawakilisha wafanyabiashara halisi wa kariakoo

Yaani watu wamepangwa kabisa waje kuelezea kero za wafanyabiashara vile iwapendezavyo viongozi wa serikali.
Acha uongo.....Kisare ,Marley , Said ,Mkoza Ally ni wafanyabiashara....

Uzushi hausaidii kitu....

Hakuna kilichopangwa hapo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…