Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Muongeaji anasema au wakadange ?sasa hawa ndo waongeaji wao??
Wewe ni moja ya maofisa wa TRA .
Eti hakuna hoja kabisa !
Ulitaka waseme nini zaidi ya maelezo yao hayo.
IMG_20230301_070149.jpg
 
Rais hasikilizi porojo za mitaani, kuna watu wanafanya analysis, kuna wawekezaji wakubwa nk, sio muuza mifuko wa Kariakoo anaropoka tu.

Ukute hapa ASHANTU hajawahi kumuona anafananaje.
kweli mtu huwezi miliki ml 50 ukaongee wakati kuna mtu anamiliki bil 20 ya yard ya magari na analipa kodi kubwa pia kumuona huyu ni nadra sana anawafanyakazi wake hivyo tatizo likitokea mmiliki wa biashara ataongea na sio kibarua
 
Hii nchi hamieni Burundi. Msimpuuze Mwigulu.

Picha linaanza:
  • makontena yanazuiwa na TRA
  • anakadiriwa kodi bil 30 na ushee
  • anakadiriwa kodi tena bil 10 na ushee
  • anapewa barua ya uhujumu uchumi akawa anakwepa
  • yupo tayari kuweka meza sh. mil 150 chap majadiliano yaendelee...TRA wakagoma wanataka bil 3 at least.
  • hapo hapo amekwamishwa kufanya biashara. Haijulikani hela atatoa wapi?

Hii nchi ngumu sana. Halla Burundi
 
Kodi ipi ya hovyo iliyowekwa? Kodi za hovyo alianzisha Magufuli. Kama hujui uliza. Yule Shetani bora alivyokufa maana hata uhuru huo wa wafanyabiashara haukuwepo.
Wewe kweli huna akili hujasikia hapa Mwigulu anaongeza Kodi ovyoovyo bila kuongea na wafanyabiasha.wakati wa Magufuli kama kungekuwa na matatizo makubwa wafanyabiasha wangegoma Tu Kwa Sababu hakuna mwanasiasa anayeweza kuwazuia wafanyabiasha.alafu shetani ni wewe hapa unayesema uongouongo.yaani miaka 2 baada ya Magufuli kuondoka hawajagoma mpaka Leo Kwa Sababu ya Kodi za ovyoovyo zilizoongezwa na serikali yako ya ovyoovyo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usihadaike na Kelele hizo. Serikali lazima ikusanye Kodi iwe isiwe.

Shida yenu mlidanganywa sana na Rais Magufuli.

Magufuli alitumia nguvu kubwa kuboresha kanda ya ziwa, Dar Es Salaam na Dom tu. Mikoa mingi hali ilikuwa mbaya sana, kimiundombinu na kiuchumi.
Hakuna mfanyabiashara anayekataa kulipa kodi na ndio maana umeona walivyotoa ushauri wa namna bora ya uchukuaji kodi ambayo ilizidi mara mbili ya ile kodi ya serikali ambayo ilitaka kukusanya.

Sio kila inayoitwa kodi ni halali, zingine ni utapeli ambazo serikali haendi kunufaika nazo zinaishia mifukoni mwa watu tu.

Kama ushawahi ku import product yeyote kupitia bandari halafu ukawa umeifata bidhaa hiyo nchi jirani kama Congo utaona utofauti wake

Bidhaa utayoichukua Congo iliyopitia bandari hii hii ya kwetu ukija kuinunua huku Kariakoo bei yake inakuwa twice au triple.

Hii kama hujawahi kui experience utaona ni ugai gai wakukwepa kodi lakini kama ushawahi hata siku moja kufika bandarini utaona haya madudu
 
Kuna somebody alimtaja askari mpemba kuwa ndo msumbufu.., ina maana mnataka kusema yule askari aliyepakwa mafuta kafika kariakoo [emoji15] ndo maana nikipita kariakoo mitaa fulani pananuka mafii.
 
Mh Kasim Majaliwa Majaliwa (Mbunge na Waziri Mkuu). Mimi ni miongoni mwa wafanyabiashara hapa Kariakoo. Naomba niseme kuhusu suala la Stoo. Kwa Imani yangu nasema Stoo ni sehemu ya maficho ya bidhaa za magendo. Hatulipii ushuru. Mkiruhusu hiyo sheria kufanya Kodi, stoo tunaficha mpaka miili ya binadamu ushahidi upo. PM usiingilie pupa suala la Stoo ni kebini ya Uhalifu. Nimetoka kuongea hapo.
naked comment
 
Back
Top Bottom