Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

mimi mtoto wa mkulima, unalingine la kusema? unaambiwa watu wana mali kwenye magodauni hawataki kulipa kodi! fuatilia issue au hoja iliyopo
Na serikali ipo halafu haijui!!
TRA wapo.
Polisi wapo.
TISS wapo.
Mtendaji wa Mtaa yupo.
Mtendaji kata yupo.
Katibu Tarafa yupo.
Mkuu wa Wilaya yupo.
Mkurugenzi wa Halmashauri yupo.
Meya wa Jiji/Manispaa yupo.
Hao wote wapo na hilo hawalijui kweli!!??
Kuna ulazima na umuhimu wa kuwa na lundo la watu wote hao wanaoitwa viongozi kama mambo ya hovyo namna hiyo yanafanyika "under their noses"!!??
 
sawa
 
Kwa hiyo wewe ungekuwa raisi ungeruhusu huo unyonyaji uendelee unaosababisha wananchi kukimbilia nchi nyingine kwasababu ya kuogopa kubadilisha watu kila siku?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usihadaike na Kelele hizo. Serikali lazima ikusanye Kodi iwe isiwe.

Shida yenu mlidanganywa sana na Rais Magufuli.

Magufuli alitumia nguvu kubwa kuboresha kanda ya ziwa, Dar Es Salaam na Dom tu. Mikoa mingi hali ilikuwa mbaya sana, kimiundombinu na kiuchumi.
 
We unafikiri hii changamoto haikuwepo kipindi cha Magufuli?

Utofauti unaofanya uone haikuwepo ni kwamba kile kipindi isingewezekana kufanya mgomo kutokana na udikteta wa Magufuli
Hapa sasa akili zimekurudia mzee wa SIMBA GUVU MOYAAA
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usihadaike na Kelele hizo. Serikali lazima ikusanye Kodi iwe isiwe.

Shida yenu mlidanganywa sana na Rais Magufuli.

Magufuli alitumia nguvu kubwa kuboresha kanda ya ziwa, Dar Es Salaam na Dom tu. Mikoa mingi hali ilikuwa mbaya sana, kimiundombinu na kiuchumi.
Awamu hii waliweka Kodi za ovyoovyo yaani kina Mwigulu
 
Nimekaa kariakoo toka 2007 najua kuliko wewe
KWa huu mkutano ni wa kariakoo peke yako?
Hivi hujui kuwa mwenyekiti wenu ni mtu wa system?
Ukikua utajua nisemayo.
Kuna watu wanaongea kwa hisia na wewe kwa kutokujua kwako unaona wako upande wenu, hao wanatuliza upepo tu then kupigwa kutarudi pale pale😂😂
 
Swala la kodi ni la kitaifa. Inabidi lifundishwe mashuleni ili kuwajengea Watanzania uelewa wa umuhimu wa kulipa kodi na masuala yote ya kikodi yanavyotakiwa kufanyika.
Muhimu zaidi ni kwa wafanyabiashara maana ndio wanaokutana na hiyo kadhia ya TRA.

Kero za msingi hapo ni kamata-kamata, vituo vya njiani vinavyozuia magari, tozo nyingi za taasisi mbali mbali ambazo inabidi zifanyiwe kazi na serikali.

Mengine ni elimu ndogo ya biashara na uelewa mdogo wa hesabu za kodi.

Upande wa TRA kuna watu wa hovyo wanao sumbua wafanyabiashara kwa njaa zao . Lingine ni ukosefu wa info za kodi mbali mbali za kila bidhaa baada ya budget ili watu waelewe hasa kodi za forodha (import duty).
 
Hao wafanyabiashara ni wanaa, si wa kuwachekea wala kuwabembeleza hawana hoja za msingi, kodi walipe. Kwanza hawana jeuri ya kufunga maduka yao muda mrefu watakufa njaa, wakome kuitishia serikali
Serikali itawasikiliza, wewe baki hapo
 
Back
Top Bottom