Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Na wewe utakua umesomea kukusanya kodi ila sio kuendesha biashara au kulea biashara ikue. TRA na Wizara ya fedha ndio walezi wa kwanz akwa biashara kwahiyo wanabidi wafanye mambo kwa weledi nasio mihemko.
Mkuu sio kila mfanyabiashara ana malalamiko. Usipende kufanya ama kuingia kwenye ujinga ama matatizo ya akili yanayoitwa generalization syndrome.
 
mimi mtoto wa mkulima, unalingine la kusema? unaambiwa watu wana mali kwenye magodauni hawataki kulipa kodi! fuatilia issue au hoja iliyopo
Mtoto wa mkulima ushazoea life la bush kukimbizana na nyani kwenye mashamba, changamoto za town hapa utazijuaje?

TRA ni wezi ambao adhabu yao sio kuachishwa kazi tu bali na kifungo juu plus kutaifishwa na mali zao
 
Sawa
 
Back
Top Bottom