Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Kuliko wabunge 100 wa CCM waliopo bungeni.Wafanyakazi wa serikali wao ni wasomi,wanaikalia sheria mwezi au mwaka halafu wanafikiria mfanyabiashara yeye anaelewa kama wao na ndio maana baadaye inakuwa vurugu kwa kuwa mpitisha sheria,anayehakikisha sheria inatekelezwa na mfanyabiashara ambaye wala haelewi chochote na hajaelemishwa kuhusu hiyo sheria.TRA rushwa tu
Tz hamna bunge
Nashangaa watu wasio na exposure inakuaje wanatunga sheria za Nchi?


Huu mjadala nimeona wafanya Biashara wapo na akili Sana kuyazidi makundi yote hapa TANZANIA wapo a head of time
 
Wizara ya fedha ndio shida huwezi leo kuona wafanya biashara wanaenda Kenya na Uganda kununua bidhaa kuwa wanafaidika kuliko kutoa mali zao kuna shida sehemu. Ila huu mkutano unapoteza muda nitashangaa kama serikali leo wanasikiliza kama hawajui nini shida hapa ndio siasa inaingia katika mambo ya msingi, unamuona Mwigulu nyuma anacheka tu inakuonesha kuwa majibu wanayo lakini siasa inapewa airtime bure tu. Tanzania ni lazima ije na njia mbadala soko letu liwe bei rahisi kuliko nchi yoyote.
 
Usivyo kua na akili we hujui wewe kama mlaji wa mwisho ndio unahasara
Tu assume una akili na wewe ni mfanya biashara na mimi sina akili na ndio mlaji wa mwisho.

Kwa hiyo kwa kua mimi mlaji wa mwisho ndio nina hasara, wewe mfanyabiashara unanipenda sana na kunijali nisipate hasara? Kama unanipenda sana unaweza kunipa bidhaa zako bure?

Halafu unataka useme una akili? Ulienda hata shule? Ulimaliza hata darasa la 7?
 
Tz hamna bunge
Nashangaa watu wasio na exposure inakuaje wanatunga sheria za Nchi?


Huu mjadala nimeona wafanya Biashara wapo na akili Sana kuyazidi makundi yote hapa TANZANIA wapo a head of time
Mnatalajia nini bungeni la kina Babu Tale? Hili ndio bunge alilolitaka mungu wa Chato ili ageuze Tanzania Mali yake binafsi.
 
Back
Top Bottom