dongo jeusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 248
- 210
Halafu eti anchomoa kidogo kidogo... Mifumo ya benki tunaijua wasitutanie...Hapo sio Samwel tu anaehusika kuna mchezo mchafu unahusisha mpaka wakubwa wa hio branch.
TayariNitag nami pia mkuu
Wasimamizi wa mirathi ni wajinga wenyewe wakiibiwa mana kila jambo lina professionals wakeNdiyo maana mimi naamini wasimamizi wa mirathi hupewa taarifa za uongo na benki kuhusu pesa walizoacha marehemu hasa wale wa fixed.
Kwahiyo anadanganya kuhusu ulawiti?Mtoa taarifa utakuwa na bifu na hiyo Benki, taarifa zako zipo kuichafua Sana hiyo Benki na inaonyesha unawafatilia sna hata habari za sijui afisa mikopo kulawiti ni wewe ulitoa, napata mashaka na taarifa zako
Eehh ilikuwaga ya kwake. Sijui kwa sasahiviNdiye mmiliki wa mataqo bar?
Nami kuna mienendo siielewi wacha nifanye uchunguziBank ya NMB sio salama kabisa, matukio na malalamiko ya wizi ni mengi sana. Mimi mwenyewe ni muhanga wa kupigwa na hii Bank.
Serikali fanyeni uchunguzi kwenye hii Bank maana ni hatari sana, anzeni na pale Mbezi Beach Africana.
Ndomana matukio ya vifo vya wafanyakazi wa Bank ni vingi sababu ya haya mambo.
NMB nilihama muda sana.
Oni Sigala na ile sauti yake sasaMkuu tujadili kwanza hili la pesa,masuala ya usanifu wa lugha iliyotumika tutamtafuta oni sigala baada ya pesa kupatina
Ahsante kwa kupendekezaNihamie EXIM sasa NMB na CRDB wamejaa waswahili
Ml 100 ni ndogo sana kwa mfanyabiashara mwenye shughuli nyingi. Anaweza akakaa hata miaka 5 bila kufuatilia. Hasa ukikuta umefungua account ya kudondosha huko hela ya kuja Kufanya jambo flan baada ya miaka 5Ila mtu unakuaje na kiasi kingi hicho cha pesa na wala usifatilie hata balance asee. Daah kweli tuko tofauti.
Kuanzisha mtaji? Sio kuanzisha biashara?Zinatosha kuanzisha ka mtaji
Basi sawa na wewe umetumia haki yako ya kikatiba kujielezea kwa uhuru. Ila nilichocomment mimi ni dhana ndio maana nikatumia neno 'ukute' na sio story kama uelewa wako finyu ulivyong'amua.Mbongo mpe kichwa cha habari aandike story ndio ww
Duuh msalaa kwambaa alitoa mara 2[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila mimi kuna mdada mmoja wa CRDB pale Kariakoo alitaka kuleta mchezo wa kijinga, nimetoa pesa kiasi fulani counter halafu yeye akarudia tena kutoa kaisi hicho hicho, pesa ikatoka mara 2, aiseee..., palichafuka, pesa ilitudi hapo hapo tena na maneno juu nilimpa
Yeah akadhani sitashtuka, maana nina mtundo wa kucheki balance mara kwa mara, sasa nikicheki muamala wa mwisho ni kweli mimi ndiye nimetoa, ila balance siilewi, nikarudi kwa branch meneja anipe statement il inione imekuwaje, kucheki kumbe kala kadada kalirudia muamala dakika ile ile...Duuh msalaa kwambaa alitoa mara 2[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]