TANZIA Mfanyabiashara maarufu Dodoma, Calvin Maimu afariki dunia

Hivi Zindzi ndo kimemuua?

Alikuwaga na presha pia yule mama

Mkuu sote tuna magonjwa mengine (wanaita underlying conditions).

Nani ni 100% mzima?

Uhalisia ni kwamba unakuwa umetangulia kwa changamoto za kupumua iwapo tu umekutwa pia na Corona hata kama ulikuwa na magonjwa mengine.
 
Wapo wamejaa tele Steve na Manny nilikua nao wiki moja iliyopita
Duh umenikumbusha mbali, jamaa alianza na Bint wa Waswanu RIP akisoma IFM ndio alikuwa amuoe, akabadili hukohuko kwa aliye naye sasa, na haikupita miaka ugonjwa ukamuanza, amesaidia sana kujenga Makanisa hasa ya KKKT
Alizikwa wilaya ya Siha Sanya juu, sina uhakika km ni familia moja na Dickson Maimu ila najua kaka zake wapo bado Jiji la dom
 
Mkuu, ebu kaa kimya kwanza....
Bado tunaendelea kumfariji Ray huku kilimo kwanza
 
Back
Top Bottom