sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
Unamatatizo mkuu.labda awe amekudhulumu wewe, kwa tunaomjua vizuri hana hiyo tabia kabisaaaa atakuwa ameianza kwako.
Wadau mnaomjua huyu jamaa cv yake ipoje?
Ndiyo huyo jamaa, nikweli amefariki kwa kupigwa risasi 8 kwa mujibu wa jamaa aliyeko karibu na eneo la tukio. Na inasemekana hawajachukua kitu chochote kwenye gari lake.
Ni kweli habari za mwanzo zinadokeza mauaji yaweza kuwa na sababu za visasi.
Tiririka dada, kwa faida ya wapenda mema, naomba utujuze.sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
Unamatatizo mkuu.
soma habari vizuri unawaza dhuluma tuhawajakimbia na briefcase wapigwa risasi tu bila kuchukuliwa hata kitu...akome kudhulumu watu....