Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wengine hawafi?Wachaga wanateketea kwa kasi. Daaah
Accumen Mo na darcity kweli watahuzunika?Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.
Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.
Mushi ameacha mke mmoja na watoto wawili
Clouds
Ungempotezea tu jamaa jinga sana ndo johnthebaptistWengine hawafi?
Umeongea upuuzi mtupu...Wachaga wanateketea kwa kasi. Daaah
Wachaga wanateketea kwa kasi. Daaah
magufuli pia alikua mchaga we ngosha vpWachaga wanateketea kwa kasi. Daaah
Unajibizana na hao wajinga wajinga wenye chuki na wachaga? Mijitu imeshindwa maisha inabaki kudhani kuwa wachaga ndiyo sababu iliyofanya wasiendelee.Wengine hawafi?
Vipi mtoto wa "mzee wa miga" anaendeleajee!!??Wachaga wanateketea kwa kasi. Daaah
RIP mangi. Mwendo umeumaliza ila umejichukulia sheria mkononi mazee.Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.