TANZIA Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga

Kujua nini hasa Kisababishi cha Kufa / Kufariki Kwake huko.
Wwayi! Kesha kufa baasi tena. Sasa lililopo mbele ni kujikita kwenye mchakato wa mazishi.
Kilichosababisha kufa au kufariki kwake ni kwa uhakika ni hicho kitanzi shingoni mwake.
Kilichomsukuma (motivating factors)hadi akafikia hatua hiyo kukijua ni mtihani. Hata madaktari hawatajua wataishia kusema suffocation, Mental hysteria etc etc - kitakachoendelea imebaki kusikia tetesi, fununu na umbeya tuu. Hakutakuwa na uhakika 100%. Angekuwepo yeye marehemu mwenyewe angebanwa aseme. Sasa hayupo na hajamruhusu mtu mwakilishi amsemee.
 
Picha
 
Tungi sio chai,huenda alikuwa na madeni
 
Kwani akina Mushi ni Wahehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…