Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Laiti angekuwa tajiri wa nyanda za juu wapuuzi wa kaskazini wangesema ni pesa za punje
Wwayi! Kesha kufa baasi tena. Sasa lililopo mbele ni kujikita kwenye mchakato wa mazishi.Kujua nini hasa Kisababishi cha Kufa / Kufariki Kwake huko.
Vip genta pure talented hatuja ona muda San humu bado upo Rwanda, muaandishi wa hbr za. EfmAlikuwa anashabikia Chama gani kati ya CCM na CHADEMA?
Uchagani mafukara wengi tuUnajibizana na hao wajinga wajinga wenye chuki na wachaga? Mijitu imeshindwa maisha inabaki kudhani kuwa wachaga ndiyo sababu iliyofanya wasiendelee.
PichaMfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.
Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.
Mushi ameacha mke mmoja na watoto wawili
Clouds
Kwa nini isiwe ni bhangi, pepo au wamemnyonga huko halafu wakaja kuutundika mwili hapo ili kupoteza mwelekeo?Msongo wa mawazo.
Nani kasema hakuna mafukara?Uchagani mafukara wengi tu
Tungi sio chai,huenda alikuwa na madeniMfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.
Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.
Mushi ameacha mke mmoja na watoto wawili
Clouds
Inna Lilah wainna ilah rajiun.إنا لله وإنا إليه راجعون
Kwani akina Mushi ni Wahehe?Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga.
Afisa Mtendaji wa mtaa wa Sawe, Simon Majura amesema tukio hilo limetokea katika mtaa wa Sawe wilaya ya Babati Mkoani Manyara na kwamba jeshi la polisi lilifika eneo la tukio kuuchukua mwili.
Majirani wanasema hakuwa na ugomvi na mtu yeyote isipokuwa siku za hivi karibuni akikuwa mnywaji wa pombe kupindukia hali iliyokuwa inamlazumu mkewe kuwaomba majirani zake wamsaidie kumbeba na kumrejesha nyumbani.
Mushi ameacha mke mmoja na watoto wawili
Clouds
Dah Allah ampe kauli thabiti .إنا لله وإنا إليه راجعون
Amen Ustadhatإنا لله وإنا إليه راجعون
Mkamilifu ni allah pekeeDah Allah ampe kauli thabiti .
Ila baby ikiwa umeandika haya mwenyewe ni dhahiri umepata darsa haswa kuhusu dini ,nadhani tuachane Mimi nimeshakengeuka sana ustadhat
Natamani iwe hivyo Ila aliyegundua ulanzi apewe dhambi zangu zoteMkamilifu ni allah pekee
Mrudie mungu baby