Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Mbeya Joseph Mbilinyi aahirisha kuhamishia biashara zake South Africa ili kumpa nafasi Rais mpya

Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga.
 
Sawa mkuu nimekuelewa.. Natengua kauli.
 
Ahamishe biashara gani alizonazo? Majengo ya desderia yanahamishika? Crd wenyewe bado wanaye
 
Kuna wenye weledi wa Mwekezaji anayetumia jina la MERU na mwingine USANGU je hawa ni watanzania?maana wanayoyafanya hapo zambia,Botswana na SA yanatisha.
Walikuwa hapahapa lakini unyama uliwashinda
 
Desderia hotel hongereni!

Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
Uzuri upatikanaji wa ukwasi wao ni justifiable,
Ukwasi wa matajiri wa CCM ni ngumu ku-justify na ukithubutu kiakukuta kitu.

CCM, Ndumba ni mabingwa wizi ni mabingwa.
 
KikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi sio hater wakuu wala sio ccm nilikuwa nauliza huyu jamaa anamiliki biashara gani ukiondoa ile hoteli ?
ni Transporter wa Siku nyingi kabla ya ubunge ana malori kadhaa ya kubeba mizigo , pia anamiliki hela taslim za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…