johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atahamishia wapi biashara zinazosimamiwa na benki?Kwa nini Sugu alikuwa anahamisha biashara Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atahamishia wapi biashara zinazosimamiwa na benki?Kwa nini Sugu alikuwa anahamisha biashara Tanzania?
Sijakuelewa!Atahamishia wapi biashara zinazosimamiwa na benki?
Sawa mkuu nimekuelewa.. Natengua kauli.Sugu anayo attention toka yupo kijana, The guy need no attention, ungejua Historia yake usingeandika hiki ulichoandika hapa
alafu huyo ni mtu mzima usimfananishe na kina rayvan nk, sababu ya yeye kuyasema hayo ni 1.yeye ni mwana harakati
2.yeye ni mfanyabiashara
hivo basi nafasi zake hizo mbili katika jamii zinampa uhuru wa kuongea, ni kama wewe hapa JF huzuiliwi ku comment kwa sababu wewe ni Member hivo ni haki yako, the same to Sugu ni mtanzania na katiba inampa uhuru wa kueleza chochote kila ile mradi havunji sheria za nchi
Ahamishe biashara gani alizonazo? Majengo ya desderia yanahamishika? Crd wenyewe bado wanayeView attachment 1753657
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji.
Sugu tayari alishapata ofa ya kupewa maeneo ya kuwekeza kwenye nchi tatu za Africa ikiwemo Zambia, Malawi na South Africa, hata hivyo ameahirisha mpango huo baada ya kusikia maneno kutoka kwa Rais mpya aliyesisitiza wawekezaji kutendewa haki .
Sasa tuendelee kusikilizia kama yanayosemwa na Mh Rais ndio yatakayojiri.
Walikuwa hapahapa lakini unyama uliwashindaKuna wenye weledi wa Mwekezaji anayetumia jina la MERU na mwingine USANGU je hawa ni watanzania?maana wanayoyafanya hapo zambia,Botswana na SA yanatisha.
Swali zuri sana kwa watu wanaopenda kudandia treni kwa mbele 😂😂Unaelewa lolote kuhusu uwekezaji?
Uzuri upatikanaji wa ukwasi wao ni justifiable,Desderia hotel hongereni!
Huyo ndio tajiri namba 2 wa Chadema wa kwanza ni Nyalandu!
ni Transporter wa Siku nyingi kabla ya ubunge ana malori kadhaa ya kubeba mizigo , pia anamiliki hela taslim za kutosha.Mi sio hater wakuu wala sio ccm nilikuwa nauliza huyu jamaa anamiliki biashara gani ukiondoa ile hoteli ?
mmezoea matajiri wa kiarabu , akili za kimasikini !Kiki😂😂😂😂
Acha hizo, kwani atahama na majengo yake.View attachment 1753657
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji...
wewe una biashara gani ?Sugu ana biashara gani wewe zaidi ya kushinda kwenye kale ka-hotel?
mkuu mimi nimemnukuu Sugu , sasa ukisema niache hizo utakuwa unanionea bureAcha hizo, kwani atahama na majengo yake.
SUGU ni wa kufa hapahapa!!
Sgu ana kamba nyingi huyo!mkuu mimi nimemnukuu Sugu , sasa ukisema niache hizo utakuwa unanionea bure
😂 😂 😂 akaweze wap sasa na deni la benki hajalipaView attachment 1753657
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoisambaza kwa Umma, kwamba ameamua kuahirisha mpango wake wa kuhamishia biashara zake nje ya nchi baada ya Rais mpya Samia Suluhu kuonyesha mwanga wa kujali wawekezaji...